Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Ni rafiki yangu wa dhati na urafiki wetu ni wa kawaida,ila kipindi cha nyuma alikuwa na mahusiano na kijana mmoja kwa ahadi ya ndoa.
Leo dada ananiomba ushauri kwamba jamaa yake tokea atoke chuoni amekuwa mjeuri yaani kwa kifupi amebadilika na mabadiliko yameanza tokea jamaa alivyokua chuoni mwaka wa pili.
Anaomba ushauri.
Leo dada ananiomba ushauri kwamba jamaa yake tokea atoke chuoni amekuwa mjeuri yaani kwa kifupi amebadilika na mabadiliko yameanza tokea jamaa alivyokua chuoni mwaka wa pili.
Anaomba ushauri.