Wana jf nimatumain yangu mko wazima na M/mungu anazidi kuwatetea, Mm niliku busy kidogo na kukusanya mazao ndio nimepunzika wiki hii . sas naomba tumsaidie kumpa ushauri rafiki yangu mmoja ambaye yey anamahusiano na mume wa mtu sas ni takribani miaka 8 ila katika kipindi chote hicho nimekua shuhuda wa movement ya mapenzi yao kwamba hata siku moja hawajawah kufanya tendo la ndoa , na si kwamba hawapati muda la hasha miak ya nyuma walikua wakikaa mbalimbali /mikoa tofauti na walitembeleana ila hawakuwah fanya mapenzi hata kama wanakesha wanakunywa na kustarehe na inapofikia muda wa kulala bwana yule anakimbili home kwake hy ndio maisha yao ndan ya miaka saba bila kuficha rafiki yangu ana mpenda sn hy baba kwani,nimemshauri mpaka leo hii naomba tusaidiane kwan nisingependa nionekane ni tatizo katika mahisiano yake wakati mwingine inabaki kumtia moyo tu .ila kama waswahili wasemav mvumilivu ula mbivu .kwani ndani ya ni miaka miwili sas yule baba ameanza kua karibu sana na huyu rafiki yangu nk , kwamba wanaweza wakatoka outing na kuenjoy ila show mpaka dk hii ilikua bado na hy dada hana hata wazo la kua na mtu mwingine anamsubilia huyo huyo bwana wake . na tatizo si muda wa kukutana maana muda wanao wanaweza kukaa hata mpaka majogoo ila pa bed ndio pagumu na hy dada juu ya uvumilivu si wamba anashida labda ya pesa no yeye shida yake kubwa ni penzi la kweli na mtu wa kujali kwa tu message nk kwan wakati mwingine amekua akimgharamia mbaba wake ma vitu ya gharama nguo nk but mbaba yeye ni kupokea na kumshukuru pa mbaba sio masikin nae yupo safi kiuchumina ni mtu mkubwa kwa hapa tz bali mh mm sijuh ila ilichonisikitisha ht mm ni wk 2 zilizopita walipanga kuenjoy kikubwa nawakakubaliana kabisa mwanamke akalipia hotel zaidi ya dora 150 masaki,ratiba ilikua ianze mchana bwana yule akaja kwa kuchelewa wakaanza kunywa mpaka usiku sana walipotaka kufanya mapenzi condom hazikuwepo na bila kujali alivaa guo na kumuacha yule mdada huku akimwambia ulipaswa uwe na kondom sas rafiki yangu akasema alichojua ni jukumu la mume kubeba kondom hakujua na si mzoefu wa hy mambo sas ushauri jaman hapo pana mapenzi kweli au ndio akufukuzae akwambii toka tumshauri kwa pamoja kwa umakin kabisa na sio zihaka nawaomben kwan namuhurumia amashindwa cha kuamua