Tumsaidie huyu mtoto jamani

Tumsaidie huyu mtoto jamani

foshizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
374
Reaction score
151

Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.
Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.

Madaktari walimshauri mama mzazi wa mtoto afanyiwe upasuaji wa kufungua njia ya choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto upasuaji huo.

Mnaombwa ndugu, jamaa na marafiki tumsaidie mtoto huyu. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie mtoto hyu.

Kama Una msaada Wowote ule tafadhali unaweza kupiga namba hii: +255719009004 au Kama upo nje ya Tanzania na umeguswa na hili na unataka kutoa msaada wako tafadhali Tuma kwenye account ya Barclays: Miss S.Yussuf sort code: 207103 acc: 73049328 pia unaweza kutuma kwa njia ya wastern union. Ama kwa TIGO PESA kwa namba+255719009004, Ahsanteni.

KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI.

MUNGU AWABARIKI SANA.
 
Halafu mimi nashauri media zetu ziwe kama ITV, ziwe zinawatafuta watu wa namna hii angalau kuwa-expose tu kwenye jamii kwamba wapo, na kwa yule anayejisikia kuwasaidia anafanya hivyo. Angalau watu wajue tu kwamba kuna watoto so and so wana matatizo na wanahitaji msaada. Nadhani kuna haja ya kuanzisha pia hata kodi ya angalau shs 1000/= kwa mwezi kwa wafayakazi na kutengeneza mfuko ambao unaweza kausaidia watoto kama hawa, unakuw uko chini ya Ofisi ya Rais majanga
 
Mfuko wa taifa upo. Sema hadi usaidiwe kazi ipo.
Cc; Mwigulu Nchemba.
 
Last edited by a moderator:
Mama ya mtoto ataje ni kiasi gani ili tujue tuna mchangia kiasi gani
 
Maskin mu nikiskiaga habar za watt kama hv huwa naumia sana,mtt anaumiza asikwambie mtu kama tunaweza kumsaidia tumsaidie jaman anapata shida,,Mungu msaidie mtt hyo jaman lol
 
uchungu wa mwana aujuae mzazi. kama wewe sio mzazi hauwezi kuhisi kitu. ukweli ni kwamba hii kitu inauma sana.
 
semeni anatakiwa apatiwe shilingi ngapi kwa ajili ya hiyo operation!mkisema hela hela no body will understand my dear.pole sana mtoto mzuri na jianaume hapo lishatimua mbio hana hata habari dah!
 
Ooh no...mtoto anaumia sana...Mungu mponye mtoto huyu.mkuu ulioleta hii thread ungefanya na mchanganuo wa gharama za matibabu ingesaidia zaidi kujua ni gharama kiasi gani...wako ambao wangetamani wamsaidie hadi apone.i will play my part.
 
Sema gharama ni shs ngapi!!!

Wakuu mimi sio mhusika japo nimeguswa na hili jambo kwa hiyo kutoa mchanganuo sio rahisi. Lakini kwa aliye guswa anaweza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja kwa namba hapo juu ili upate undani zaidi. +255719009004. Yeye ndo ataweza kutoa maelezo ya kina. asanteni sana kwa ushirikiano.
 
wakuu mimi sio mhusika japo nimeguswa na hili jambo kwa hiyo kutoa mchanganuo sio rahisi. Lakini kwa aliye guswa anaweza kuwasiliana na mhusika moja kwa moja kwa namba hapo juu ili upate undani zaidi. +255719009004. Yeye ndo ataweza kutoa maelezo ya kina. Asanteni sana kwa ushirikiano.
maji ukiyavulia nguo sharti kuyaoga ,bado hujamsaidia mtoto mpaka hapa .unatakiwa utoe figure tu ndugu yangu huo muda wakupiga wengine hawana.
HIYO NAMBA HAWAPOKEI SIMU
 
Back
Top Bottom