Kwa nini kisasi? Watu walishajiwekea vipaumbele vyao kuwatumikia wananchi. Kamwe pasingekuwa na muda wa kilumbana na mtu maana wangelumbana na kumalizana wenyewe. Wala pasingekuwa na kauli za kulimia nenoKuanzia sasa kitaeleweka .Mungu mkubwa
.embu fikiria huyu ni mteuliwa Wa chama kiliokuwapo anatenda kama vile ilikuwa hatuna serikali miaka kumi iliopita,embu fikiri je ingekuwa upinzani ndio wameingia alafu wawe na kisasi !!??
Na si raia mwema wa TanzaniaNi Kweli Sikutaka Kwenda Deep Sana Maana Ningekuchosha Kusoma. Naamini Wewe U Raia Wa Nchi Hii Na Unafuatilia Yanayoendelea Pia. Kama Kwa Kweli Hujui Nazungumzia Nini Basi Wewe Hutufai
Mkuu,si mwajiriwa tu,bali ni mwajiriwa wa Lumumba ama white house Dodoma,wale ambao hata wakimuona mfalme kakaa vibaya hawawezi sema zaidi ya kusema mfalme kapendeza kwelikweli.Sawa mkuu ila ukweli ni kuwa isije fika siku ukasema hukumwelewa. Pengine wewe ni mwajiriwa ndio maana unaona tambarare tu
Mkuu Cosmo Nadhani Rwanda Itakuwa Mfano Mzuri Zaidi
Mmenistukia natumika na nani?!. Lumumba? . Kwa taarifa tuu, msamiati wa neno "dhaifu" ulianzia humu jf ndipo JJ.MNYIKA akaunasa na kushuka nao Bungeni, mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa msamiati huo japo siwezi kulinganisha claim right of ownership kwa sababu hakuna aliye u patent msamiati huo! .Pasco wewe tayari tumesha kustukia kuwa unatumika
Tumpe vipindi viwili vya miaka 10, niliwahi kushauri humu
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Pasco
Kwa hiyo mkuu hoja ya msingi hapa ni kuhakikisha Rais anapewa muda wa ziada kuingoza nchi maana la sivyo yatakuwa yake yale ya panga pangua. Kama kweli Rais ana nia ya dhati ya kutaka nchi hii ifike anakotaka na bado akaheshimu muda wake wa uongozi, ana kazi kubwa sana kuliko zote ya kuhakikisha anajenga DIRA YA TAIFA. Labda kama ana nia ya kuvunja katiba na kuendelea kuwa mkuu wa nchiLakini Rwanda haijajengwa kwa mwaka mkoja.
Nilitembelea Rwanda mwaka 2003, ndio kipindi hivyo PK katangaza Vision 2020. Mwaka jana nilikuwa huko tena mwaka 2020 haujafika lakini taswira ya muelekeo tayari inaonekana. Kwa hiyo imewachukua miaka 12 kuweza kufika walipo na bado wana miaka mi 3 mbele kufika wanapotaka.
Rwanda haina natural resources kama TZ, wanaendesha nchi kwa Kodi na Misaada.
Kwa JPM anavyotaka inamchukua miaka 15 kwa Tanzania kuwa nchi ya Asali na Maziwa. Ila kitu kimoja muhimu ambacho mnatakiwa kujua, ili kufikia malengo hayo lazima 70% ya mapato yatoke ndani na 30% msaada.
Sekta Binafsi lazima ichangie pato la taifa kwa zaidi ya 50%.
Kwa current situation nchi inakusanya 1.3 trillions. 500b inanilipa madeni ya nje. 500b inalipa mishahara ya wafanyakazi. Hapo inabaki 300b peke yake.
Karata pekee ninayoiona muhimu hapa ni nchi kuvutia wawekezaji waje kuwekeza ili ajira zizalishwe.
Bila hivyo hakuna kitu kipya kitatokea serikali hii, mchezo utakuwa ule ule wa kukopa na kulipa kwa riba kubwa.
Hilo la kuvunja katiba sisi ndio tutaamua, yeye atuletee dira ya 2030. Kwa miaka hii 9 aanze kuchimba msingi na kuinua tofali. 2020 sisi ndio tutaamua tumuongezee muda apige bati kabisa au tutafute mkandarasi mwingine.Kwa hiyo mkuu hoja ya msingi hapa ni kuhakikisha Rais anapewa muda wa ziada kuingoza nchi maana la sivyo yatakuwa yake yale ya panga pangua. Kama kweli Rais ana nia ya dhati ya kutaka nchi hii ifike anakotaka na bado akaheshimu muda wake wa uongozi, ana kazi kubwa sana kuliko zote ya kuhakikisha anajenga DIRA YA TAIFA. Labda kama ana nia ya kuvunja katiba na kuendelea kuwa mkuu wa nchi
Mkuu Una Hakika Na Usemayo? Haya Maneno Ya Dhaifu Na Dikteta Mbona Yapo Sana Humu Jf Na Nje Yake?Mmenistukia natumika na nani?!. Lumumba? . Kwa taarifa tuu, msamiati wa neno "dhaifu" ulianzia humu jf ndipo JJ.MNYIKA akaunasa na kushuka nao Bungeni, mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa msamiati huo japo siwezi kulinganisha claim right of ownership kwa sababu hakuna aliye u patent msamiati huo! .
Na sasa huu msamiati wa Dikiteta pia umeanzia humu jf, na mwanzilishi ni mimi, hivyo kama unadhani natumika na Lumumba, you are very wrong! .
Pasco wa JF is his own Boss hatumwi na mtu yoyote, chama chochote wala taasisi yoyote bali ni mtumishi wa watu, anayewajibika kwa watu kwa kuwaambia ukweli daima, aliyejengwa na watu kwa ajili ya watu! . (Of the People, By the people and For the people ).
Pasco
Mkuu hata mwaka bado ushachoka.Naona Muda tuliompa unatosha.
Tukisema Tutaamua Baada Ya Mihula Yake Anaweza Kuchelewesha Kazi Ili Aongezewe Muda. La Msingi Ajenge Dira Kwa Dhati Kabisa Kiasi Kwamba Mkandarasi Ajaye Hatapaswa Kuchepuka Na Kuanza Yake. Hapo Ndipo Taifa LitaamuaHilo la kuvunja katiba sisi ndio tutaamua, yeye atuletee dira ya 2030. Kwa miaka hii 9 aanze kuchimba msingi na kuinua tofali. 2020 sisi ndio tutaamua tumuongezee muda apige bati kabisa au tutafute mkandarasi mwingine.
Tuombe dua,Tukisema Tutaamua Baada Ya Mihula Yake Anaweza Kuchelewesha Kazi Ili Aongezewe Muda. La Msingi Ajenge Dira Kwa Dhati Kabisa Kiasi Kwamba Mkandarasi Ajaye Hatapaswa Kuchepuka Na Kuanza Yake. Hapo Ndipo Taifa Litaamua
Aliyelikuza neno "dhaifu " ni JJ.MNYIKA alipolisema Bungeni, sasaMkuu Una Hakika Na Usemayo? Haya Maneno Ya Dhaifu Na Dikteta Mbona Yapo Sana Humu Jf Na Nje Yake?
Bila shaka. Nakubali sana pia nyuzi zako maana zina link from one to the nextAliyelikuza neno "dhaifu " ni JJ.MNYIKA alipolisema Bungeni, sasa
angalia Mnyika aliyesema lini kisha angalia mimi nilisema lini? .
Na neno dikiteta angalia nilisema lini. Niko jf mobile nikiwa desktop nitakuwekea links.
Pasco
Inategemea kwako wewe maendeleo unayatafsiri vipi, na unatagemea raisi wa nchi afanye nini ili kwako hayo unayoyaita maendeleo yaonekane!
Umeandika maandishi mengi lkn hauna hoja yoyote ya msingi iliyosimama ambayo mtu anaweza kuisoma na kuanza kukujibu, unagusia hapa na hape lkn hausemi hasa unamaanisha nini na unataka kusema nini hasa, kwa mfano raisi amekosea wapi kulingana na jisi uonavyo wewe ili iwe rahisi kuchangia, sehemu hoja yako conrete ni ipi?
mbumbumbu ktk ubora wako, very silly, kila kitu kiko wazi halafu unajifanya hujaelewa kisa buku SabaInategemea kwako wewe maendeleo unayatafsiri vipi, na unatagemea raisi wa nchi afanye nini ili kwako hayo unayoyaita maendeleo yaonekane!
Umeandika maandishi mengi lkn hauna hoja yoyote ya msingi iliyosimama ambayo mtu anaweza kuisoma na kuanza kukujibu, unagusia hapa na hape lkn hausemi hasa unamaanisha nini na unataka kusema nini hasa, kwa mfano raisi amekosea wapi kulingana na jisi uonavyo wewe ili iwe rahisi kuchangia, sehemu hoja yako conrete ni ipi?
Mkuu Nchi Kavu , tumpe mitano tena, atakamilisha!.Rais kaahidi mambo mengi sana ambayo ni ngumu kutekelezeka kwa miaka 10.