Tumpe Rais Magufuli miaka mingapi?

Tubadili katiba tu tufanye uongizi usio na kikomo kama chadema- ukiisha muda agombee wakimpenda miaka mingine wampe
Akifeli wamtoe itakua kipimo kizuri
 
Mimi napendekeza tubadili katiba aongoze miaka 20 ijayo .Tutafikia uchumi wa kati.
 
Ulikuwa na hoja nzuri kama ungeongelea tu mkopo na ulivyoathirika na umakini wa serikali ktk kubana matumizi. Hizo zingine umeandika kishabiki kiasi kwamba unaonekana wewe ni muongo, mnafiki...
Hali ngumu hii wewe kwako poa sana?
 
Mkuu jiangalie usije jikuta unazingirwa
 
Mimi nasema tumpe miaka hata fifty,50.mpaka awe mzee kama Mgabe.kweli kabisa.
 
10 inatosha kuturudisha nyuma
 
Huyu raisi ninacho ona mbele yangu ni Tumuombe Prophet TB Joshua
.amuite na amuombee pepo la mwisho aliobakiwa nalo la kiburi na uvunjaji Wa sheria na katiba litoke,nasema hivyo maana umri wangu na huru ni sawa,ila utawala wote toka nizaliwe
.ndio Mara ya kwanza naona tunae mkulu mtata anaye weza vunja katiba mchana kweupe na nchi ikalegea bila ataa kukoowa.ni aibu sana kama nch
 
MIMI NAONA AMALIZIE TU KIPINDI CHAKE MAANA ANANICHANGANYA SANA
Kuanzia sasa kitaeleweka .Mungu mkubwa
.embu fikiria huyu ni mteuliwa Wa chama kiliokuwapo anatenda kama vile ilikuwa hatuna serikali miaka kumi iliopita,embu fikiri je ingekuwa upinzani ndio wameingia alafu wawe na kisasi !!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…