Tumlaani Makongoro Mahanga kwa fao la kujitoa

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,788
6,568
Mie naanza kumlaani hapa ndugu Makongoro Mhanga kwa kuja na sharia ya kuondoa Fao la kujitoa wakati wa awamu ya nne akiwa naibu waziri wa ajira na Vijana.

Licha ya kuhamia CHADEMA hajawahi kuomba radhi kwa kutuumiza vijana wa nchi hii.

Naomba sote tumlaani kwa kufanya haya halafu anakuja upinzani kutuhadaa. Kama anatakama msamaha basi aombe radhi Publically.
 
HUYU JAMAA ALIKUWA CCM NA AKIWA WZIRI YA KUSHADADIA HUO MSWAADA KWA KUSHIRIKIANA NA ssra..JINGA SANA SASA TUNAMATATIZO MAKUBWA

Mkuu @kimla,jitahidi kuchuja mambo kabla ya kuyaleta hapa hata kama ni porojo au utapeli wenu wa kivyama. Hivi Naibu Waziri ana mamlaka ya kuwasilisha Muswada mahali popote? U-CCM unakutia upofu hadi wa akili.
 
Tunalaani waliopitisha sheria bila kujua madhara yake kwa wanaowawakilisha.
Maana mijadala ya FAO la kujitoa wakati huo ilionekana Wote hawakutilia maanani au kuhoji chochote ktik kipengele hicho.
Asitafutwe mtu, Kama ni CDM wawalaumu wabunge wao kuruhusu kipengele kupita bila kuhoji.
 
Mkuu @kimla,jitahidi kuchuja mambo kabla ya kuyaleta hapa hata kama ni porojo au utapeli wenu wa kivyama. Hivi Naibu Waziri ana mamlaka ya kuwasilisha Muswada mahali popote? U-CCM unakutia upofu hadi wa akili.
Hawezi kamwe, hata km waziri husika ana hudhuru basi muswada utawasilishwa na waziri wa wizara nyingine, na sio naibu waziri
 
Makongoro sina uhakika kama yupo chadema ni suala la muda tu.

Siyo haki kabisa kuzuia watu kuchukua hela yao. Ni mbaya sana. Ni kuzuia malengo na uchumi wa baadhi ya watu kukua. Nikiona mtu anayetetea hili jambo sijui hata namuona je? Hv kweli una mkataba na Mungu mpaka umwambie mwenzako nitakupa hela yako ukifika miaka 55? Ni Tanzania tu kuna mambo ya ajabu ajabu kama haya.
 
Alaaniwe kila anayeshadadia watu kunyimwa hela zao eti mpaka watakapokaribia kufariki. Laana iwaendee wao na vizazi vyao kwa kuhodhi fedha zetu ili zikajenge viwanda vya popcorn.
 
Mie naanza kumlaani hapa ndugu Makongoro Mhanga kwa kuja na sharia ya kuondoa Fao la kujitoa wakati wa awamu ya nne akiwa naibu waziri wa ajira na Vijana.

Licha ya kuhamia CHADEMA hajawahi kuomba radhi kwa kutuumiza vijana wa nchi hii.

Naomba sote tumlaani kwa kufanya haya halafu anakuja upinzani kutuhadaa. Kama anatakama msamaha basi aombe radhi Publically.
Nakubali hatutaki vinyonga wasio na Misimamo, Ila Anayeiba Mafao hayo ni Magufuli anayetia Saini Mikataba, Mimi niachishwe au Niache kazi, Lets say nina miaka 40. Sina hela ya unga wala Mafuta ya Kupikia wala Ada na nauli ya Mtoto kwenda shule. Kwa bahati nina Mafao yangu niloyokatwa na NSSF au PPF kiasi cha milioni 27 Lakini Unaniambia Watoto wangu wafe njaa, wakose shule na nisubiri mkaka 35 Ijayo ndio mtanilila Pesa zangu!
Atakayesaini Mswada wa Kishetani Namna hii sio Mtu bali ana Roho ya Lucifer mwenyewe mzima mzima! I feel like Crying!
 
Hotuba ya sizonje mei mosi alisema mswada utapelekwa bungeni na kama wabunge wakipitisha basi yeye atasaini.

Sijafuatilia bunge mda sasa, naomba kuuliza je wamepitisha nini huko?
 
SHERIA ILISAIINIWA NA KIKWETE WAKATI MAKONGORO AKIWA NAIBU MTEKELEZAJI MKUU,SO SIWEZI MLAUMU MAGUFURI

Nakubali hatutaki vinyonga wasio na Misimamo, Ila Anayeiba Mafao hayo ni Magufuli anayetia Saini Mikataba, Mimi niachishwe au Niache kazi, Lets say nina miaka 40. Sina hela ya unga wala Mafuta ya Kupikia wala Ada na nauli ya Mtoto kwenda shule. Kwa bahati nina Mafao yangu niloyokatwa na NSSF au PPF kiasi cha milioni 27 Lakini Unaniambia Watoto wangu wafe njaa, wakose shule na nisubiri mkaka 35 Ijayo ndio mtanilila Pesa zangu!
Atakayesaini Mswada wa Kishetani Namna hii sio Mtu bali ana Roho ya Lucifer mwenyewe mzima mzima! I feel like Crying!
 
Nakubali hatutaki vinyonga wasio na Misimamo, Ila Anayeiba Mafao hayo ni Magufuli anayetia Saini Mikataba, Mimi niachishwe au Niache kazi, Lets say nina miaka 40. Sina hela ya unga wala Mafuta ya Kupikia wala Ada na nauli ya Mtoto kwenda shule. Kwa bahati nina Mafao yangu niloyokatwa na NSSF au PPF kiasi cha milioni 27 Lakini Unaniambia Watoto wangu wafe njaa, wakose shule na nisubiri mkaka 35 Ijayo ndio mtanilila Pesa zangu!
Atakayesaini Mswada wa Kishetani Namna hii sio Mtu bali ana Roho ya Lucifer mwenyewe mzima mzima! I feel like Crying!
Yaan wewe unajidanganya kwamba utapewa!!! Hiyo pesa hupewi tena inaingizwa kwenye mfuko wa bima ya afya hivyo itakuwa kwa ajiri ya matibabu tu mpaka kufa kwako.
 
Back
Top Bottom