Utakufa mapema ukihoji kila kitu dogo jiangalieWhy huyu na ni luteni tu? Roho yake si sawa na askari wengine wanaofariki kusimamia taifa
Why huyu na ni luteni tu? Roho yake si sawa na askari wengine wanaofariki kusimamia taifa
kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).Why huyu na ni luteni tu? Roho yake si sawa na askari wengine wanaofariki kusimamia taifa
Cdo hawezi kuachishwa majukum kihivyo kwanza mauaji yalitokea eneo la baa ambapo jamaa (cdo) alikuwa kapachika maji,Kuna yule mmoja aliye mrestisha mtu bar maeneo ya Tandika pale my love wake alipotongozwa na mlevi,sijui kesi yake iliishaje yule komando!!!
Mkuu achana nao hao watoto ambao uwezo wa uelewa ni mdogo na pia vichwa vyao havipo tayari kueleweshwa.kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).
nmeandika nikiwa na uzoefu katika kupata medani hii ngumu na adimu( not every soldier can become a commando, but all commandos are soldiers)