mbuchi1987
Member
- Oct 15, 2014
- 12
- 3
Mimi nikishaona mtu alieko duniani bado halafu anajiita namuona kama mtu wa kukimbiwa kama ukoma, wote wanakuwa wezi, wazandiki na zaidi wachumia tumboJamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli??? Kama mtu anajua chochote kuhusu yeye atiririke hapa. Asanteni
sasa huyo ni nabii au specialists wa utabiri na mapepo??Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli??? Kama mtu anajua chochote kuhusu yeye atiririke hapa. Asanteni
Maana kafanya ndugu yetu kutuona karibu kila mutu anamapepo hivyo nibudi kuuliza maana familia nyingine wanaweza wakawa wanaumia kaa sisis