Tumieni vyombo vya habari,,,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumieni vyombo vya habari,,,,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kibhopile, Aug 10, 2010.

 1. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Siku ya kwanza nilidhani ni maandamano ya public ceremony or something. Then kesho yake makelele hivo hivo. Hivi tv na redio za Arusha zinafanya kazi gani kama kila tangazo kwa wanajamii lazima gari ipite barabarani kupiga makelele. Watu tunashindwa kufanya kazi kisa mtu apita nje na litarumbeta lake kusema ' bill ya maji imetoka wananch mkalipe' hivi tangazo kama hili si tshs 5000/= tuu kwenye radio sasa yanini kupita mtaani kutupigia makelele, inakera sana. sometimes wanakutana pamoja huyu atangaza kodi ya TRA, huyu umeme, huyu maji, huyu CCM, huyu mganga wa kienyeji yani tabu tupu coz hakuna unachoelewa ' kalipe mitishamba tanesco tra kuanzia kesho wanakata majii' hata ujumbe haufiki. mnatuchosha sisi wenye ofisi town. TUMIENI VYOMBO VYA HABARI.
   
Loading...