Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,926
- 61,716
NinaifanyaHii umefanya mwenyewe ukapata matokeo au umewaza tu kichwani?
Ni kuwa makini katika kuchagua timu yako (pa kuwekeza), ndio maana mabenki hutaka vielelezo vingi kujihakikishia usalama wa fedha wanazokukopeshaNi wazo zuri ila kama tu utawapata watu waaminifu vinginevyo unaweza kubaki unalia.
Ni macho au nimeshindwa kutafsiri...👁️👃👁️
Ugumu uko wapi mkuu?Kuandika rahisi.
Ulishawahi kuwa afisa mikopo (mikopo ya vikundi vya akina mama) ? Wao mfumo unao wafaa Ni vikundi zaidi kuliko mmoja mmoja...tafuta watano WANAOJUANA VIZURI waanzishe kikundi wabanane wao kwa wao pesa ya marejesho irudi.itakuwa rahisi kwako otherwise kichwa Chako kitavurugika maana unavyomkopesha mmoja mmoja kwa mfano kila mmoja laki moja usitegemee pesa yako kuipa yote ndani ya Mwezi hao vipato vyao ni vidogo ,so wanatakiwa kulipa kila wiki kwa miezi mitatu Hadi sita..pia elewa ni wazoefu wa mikopo ukiwawekea riba kubwa au upate pesa nyingi kwa haraka huwezi pata mtu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na weweUlishawahi kuwa afisa mikopo (mikopo ya vikundi vya akina mama) ? Wao mfumo unao wafaa Ni vikundi zaidi kuliko mmoja mmoja...tafuta watano WANAOJUANA VIZURI waanzishe kikundi wabanane wao kwa wao pesa ya marejesho irudi.itakuwa rahisi kwako otherwise kichwa Chako kitavurugika maana unavyomkopesha mmoja mmoja kwa mfano kila mmoja laki moja usitegemee pesa yako kuipa yote ndani ya Mwezi hao vipato vyao ni vidogo ,so wanatakiwa kulipa kila wiki kwa miezi mitatu Hadi sita..pia elewa ni wazoefu wa mikopo ukiwawekea riba kubwa au upate pesa nyingi kwa haraka huwezi pata mtu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamna cha ajabu kwenye hii 'idea' ndio njia mojawapo bank zinatumia[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu piga kifua sema mimi ninamawazo mazuri
Ila nataka kuwapoteza vijana
Waajiri wangejua muajiriwa anaweza kuwafanyia ubadhirifu, wangeendelea kuajiri?Motivation speaker...
Kwa nini mkuu, kama umeajiriwa...mwajiri si anakutumia wewe kutengeneza pesa? sasa kwa nini na wewe usiwatumie wengine kutengeneza pesa?Mungu anakuona mkuu.