Mkuu vp kuhusu hizi vodafone mini tab coz hadi nilirequest code kutoka unlocklocks.com lkn wakaishia kunipa refund tu coz hawakuweza kupata code
Mkuu naomba hiyo website unayonunua
Pia kama hutojali naomba namba yako PM.
Okay. Model ni VFD 1100Ebu nipe model yake
Okay. Model ni VFD 1100
Hivi mkuu kwa mfano hiz simu za iphone used zinazouzwa nying zimetoka marekani ambazo wanasema iko locked huwez tumia line labda wifi only..je inawezkana ku-unlock?Weka cpu z kisha angalia ni MtK ipi,kama ni 8321 tafuta mtu mwenye sigma atakutolea lock ,kama ni 6580 jarbu kwa nck
Mkuu hivi zile ZTE wifi router za Halotel nazo zinawezekana ku unlock ziwe universal?Hakuna njia moja..kuna njia za tools na zingine za kununua code
Kwa visimu hivi vya tigo sijui unaweza tumia NCK dongle crack ukatoa lock nyingi tu
Kwa sim za samsung unatumia z3x box hata crack inatoa simu nyingi tu zilizokua supported
Pia unaweza nunua code mtandaoni,mim nanunuaga code za mifi hizi huko eBay , unapata hadi kwa dola 1 depends na model ya mifi yako
Pia kuna baadh ya simu au modem una download tu unlocked files alafu unaflash kwa miracle...mfano vile visimu vya button vya voda unapiga file ina MB 4 tu unatoa lock
So njia zipo mbali mbali..we kikubwa ukikutana na lock ya sim njoo hapa jukwaani tutakusaidia kutoa hiyo lock.
Mkuu hivi zile ZTE wifi router za Halotel nazo zinawezekana ku unlock ziwe universal?
VFD 1100 ni MTK 6580Okay. Model ni VFD 1100
okay mkuuVFD 1100 ni MTK 6580
Mimi Huwa Naitoa Kirahisi Sana Kwa Kuflash ROM
Ndio Ninayotumia Sasa Kwa Lain Ya Halotel
Download Hii ROM Then Flash Kwa SP
Vodafone Smart Tab 2 3G VFD1100 Stock Firmware ROM (Flash File)
Download the official Vodafone Smart Tab 2 3G VFD1100 Stock Firmware ROM (Flash File) for your Vodafone Mobile. We also provide all other Vodafone Stock Firmware.firmwarefile.com
Nilijaribu Kwa NCK Na Miracle Crack Ziligoma Kutoa Hio Network Lock
Chief mkwawa naomba msaada nimenunua simu sumsung tab a6 .haishiki mtandao . inaandika insert sim card wakat card imo lkn nikienda kwenye setting hata lile neno nertwork seting halipo kwenye simu na haikamati mtandao wowoteMkuu huwezi ku decrypt kwenye computer nyengine inabidi urudishe computer ile ile ilio encrypt, unless Kuna software fulani ama tip fulani ya encrypt iliotumika.
Model yake ni ipi mkuu
Mkuu nina kitochi 4G ya vodacom inahitaji NCK code ili ku unlock iweze kusoma mitandao yote naomba msaada wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka bure ?? Mimi ninayo crack ya kuunlock simu haswa zenye mtk cpu but iko outdate na model zinazotoka .Simu zozote zile zinazotumia zilizodhibitiwa kutumia mtandao mmoja na zinadai unlock code
Weka bei tunalipa haina shidaUnataka bure ?? Mimi ninayo crack ya kuunlock simu haswa zenye mtk cpu but iko outdate na model zinazotoka .
Sent using Jamii Forums mobile app