Tumia kwa uangalifu!

HAHAHAhaha nimekikumbuka choo cha shuleni enzi za advance..

Unaingia toi ukiwa umevua shati ..maana ukizama nalo harufu inanatia kwenye nguo... na inzi watakufwata hadi class
 
Umenikumbusha Mkwawa complex Iringa. Tulikuwa tunakata "gogo" choo kinaitwa open roof unaenda na majani au karatasi. Baba Kadoda hoyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…