Mpaka uwe mtakatifu inachukua muda mrefu sana Ndugu kutangazwa yote ayo nikwa ajili ya kufanya utafiti ila kujua hakuna nguvu ya ziada iliyotumika iwe ushirikina au mbinu yyte ya kisayansihuyo alikuwa ni mshirikina pure, hili kanisa lilishaharibiwa kitambo kumbe..hakuna miujiza ya hizo unaonekana huku at the same time upo kule..na hii desturi ya kutangazana watakatibu ni tatizo maan ni ibada ya wafu .. na Mungu hapendi mtu akisha kufa hana lake tena hapa ulimwenguni hapo ni yeye na Mungu wake tu asubiri kulipwa kwa kadri ya matendo yake,hii ya kusema unasali kupitia hao watakatifu wafu ni uwongo hata usali mwaka na miaka mtu mfu hawezi kukusaidia kitu..imani yetu wakrito imejegwa kwa Yesu tu yy ndio njia ya uzima hakuna mtu atakayeenda kwa Baba pasipo kupita kwake....
Tafuta kitabu cha Mtakatifu Rita usome muda mfupi kabla ya kufariki alitokewa na Bwana Yesu,na Yohane Mbatizaji na mwili wake upo mpaka leo ukitoa harufu nzuri kama uwa la WaridiMpaka uwe mtakatifu inachukua muda mrefu sana Ndugu kutangazwa yote ayo nikwa ajili ya kufanya utafiti ila kujua hakuna nguvu ya ziada iliyotumika iwe ushirikina au mbinu yyte ya kisayansi
Upo pande gan?? Binafsi nitapitia wikipedia alaf nitarudTafuta kitabu cha Mtakatifu Rita usome muda mfupi kabla ya kufariki alitokewa na Bwana Yesu,na Yohane Mbatizaji na mwili wake upo mpaka leo ukitoa harufu nzuri kama uwa la Waridi
Kwa Tanzania mpaka sasa hatuna mtakatifu yoyote anayetambuliwa na kanisa...Isipokuwa kuna Sista mmoja Sr Bernadeta Mbawala(OSB) wa Songea kuna mchakato wa kumtangaza Mwenyeheri bado unaendelea amekuwa akiwasaidia watu mbalimbali kwa maombezi yake Unaweza nunua kitabu cha historia ya maisha yake...Hivi kwa kipindi hiki, tanzania Kuna mtakatifu kweli.....!
Sawa mkuu.Najaribu ku- upload picha yake ila inagoma ila uki google utazipata Ndugu
Wala haihitaji kuwa kama unavyofikiri mkuu,imani ni kile kitu ambacho umekisoma,umekielewa na unaamini kwa dhati ya moyo wako kwamba kwa hicho kuna mafanikio yawe yakielimu,afya ya mwili,uzima wa roho(samahani sijui uu imani gani)but kwa sisi Catholics tunaamini kuwa baada ya kifo kuna kuishi tena..Mkwawa anaweza kuwa kwa kipindi chake alipewa Karama na Mungu yakufanya mambo fulani fulani yakushangaza pamoja na kusaidia watu but nadhani tatizo hakukuwa na mtu wakuyaweka ktk makabrasha ndiyo maana watu miujza yake wanaiweka ktk kundi baya.Ukiwa muumini filani inabidi uwe kama chizi au mtoto mdogo,ingekuwa kwa mwafrika tungemuita mchawi,sababu mzungu tunamuita mtakatifu,MKWAWA alivuka mto ruaha huku akipita juu ya maji
Eee yupo mkuu, tena yeye bado yuko hai, wenzie wanatangazwa wakishakufa yeye katangazwa akiwa bado yu hai! Ukimgusa tu cha moto utakiona!!Hivi kwa kipindi hiki, tanzania Kuna mtakatifu kweli.....!