Tumevamiwa; mtaani kwetu limeingia nyambizi

Tumevamiwa; mtaani kwetu limeingia nyambizi

Naomba unitumie namba za dalali wa vyumba mtaani kwenu! anitafutie chumba huko, mana naona huduma za tigo pesa huko zimeboreshwa zaidi ..............
 
Wakuu, tumevamiwa,

Nawatangazia rasmi, kitaani kimenuka balaa.

Narudi home baada ya safari bhana, nakuta jirani kulipokua na fremu kumefunguliwa huduma za tigo pesa na mpesa.

Aiser kakaa binti huyo kakunja nne mazee, katupia kimini, upaja woote nje, yaani ni mzigo wa haja wakuu,ana fujo huyo maana katupia na vikuku miguuu yoote.

Nimeingia skani, ikabidi nitoke baada ya muda niende mwenyewe kuweka maksi zangu, nikalazimisha kuweka vijisenti vyangu tigo pesa mradi tu nimzoee.

Mtaani tumevamiwa, hiki kifaa ni matata.

Story yako mbona haijakamilika au ndio movie za bongo mpk prt 3....
 
hiyo itakua ahueni kwangu maana sasahivi network haisomi zaidi ya kuwazia duka la tigo pesa tu.

Lakini mkuu si umesema ana huduma ya M-pesa pia? Sasa ww mbona mawazo yako yote yanaonekana kuganda kewnye huduma ya "TIGO" pesa tu?
 
Lakini mkuu si umesema ana huduma ya M-pesa pia? Sasa ww mbona mawazo yako yote yanaonekana kuganda kewnye huduma ya "TIGO" pesa tu?

Itakua "TiGO" Ni mtandao pendwa zaidi kwa eneo lao.
 
Back
Top Bottom