appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,912 Reaction score 3,224 Jul 1, 2013 #1 naitaji msichana mmoja wa kuspend nae nimeuza nyumba ya mil 21 umri sio ishu ila awe mzuri na msichana wa kileo mimi sijavuka 30 wala sijapungua 25
naitaji msichana mmoja wa kuspend nae nimeuza nyumba ya mil 21 umri sio ishu ila awe mzuri na msichana wa kileo mimi sijavuka 30 wala sijapungua 25
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 1, 2013 #2 Ile nyumba ya urisi?
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,912 Reaction score 3,224 Jul 1, 2013 Thread starter #3 yes nina kama ten mil
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jul 1, 2013 #4 kazi ipo
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Jul 1, 2013 #5 Kaweke heshima baa. Ukienda na hiyo fedha lazima umushushe mikono yule jamaa alie inua mikono kwenye chupa ya konyagi
Kaweke heshima baa. Ukienda na hiyo fedha lazima umushushe mikono yule jamaa alie inua mikono kwenye chupa ya konyagi
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,673 Reaction score 167,729 Jul 1, 2013 #6 Uwiiiiiiii nipe contakti
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 1, 2013 #7 appoh said: yes nina kama ten mil Click to expand... kanunue Toyo itakufariji kwa kukuingizia buku buku kipindi utakapokuwa unazikumbuka hizo mil 10
appoh said: yes nina kama ten mil Click to expand... kanunue Toyo itakufariji kwa kukuingizia buku buku kipindi utakapokuwa unazikumbuka hizo mil 10
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,973 Reaction score 2,494 Jul 1, 2013 #8 unanunua ukimwi kwa hela yako mwenyewe maskini
M mwanaume2013 New Member Joined Jul 2, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jul 2, 2013 #9 Dogo kafanye ujasiriamali hivyo unatafuta kifo mapema
Murthad New Member Joined Jul 2, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Jul 3, 2013 #10 Kifo hakinunuliwi wala bodaboda na baar sio lengo lengo lake amesema anataka mwanamke wa kustarehe nae,so kama yupo atoe mawasiliano tu sio kumletea ngonjera na ushauri nasaha mwingiii.
Kifo hakinunuliwi wala bodaboda na baar sio lengo lengo lake amesema anataka mwanamke wa kustarehe nae,so kama yupo atoe mawasiliano tu sio kumletea ngonjera na ushauri nasaha mwingiii.