Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 383
- 507
Hiki si kizazi cha matambiko ndugu. Ww utakuwa ni mzee, ama kijana zombie. Nyie ndio mnaona hilo zindiko liitwalo mwenge lina maana.Mwenge wa uhuru unazimwa mkoani Rukwa. Umeeneza falsafa ya nchi, uzalendo, na umeleta maendeleo kwa wananchi.
Naam, wananchi wamedurahi kuushika na kuukimbiza mwenge. Wamefungamanishwa na nchi yao.
🚮Mwenge wa uhuru unazimwa mkoani Rukwa. Umeeneza falsafa ya nchi, uzalendo, na umeleta maendeleo kwa wananchi.
Naam, wananchi wamedurahi kuushika na kuukimbiza mwenge. Wamefungamanishwa na nchi yao.
Kweli kabisa fedha zake zielekezwe kwenye miradi ya kuleta maendeleo haiwezekani mwenye unatengewa bajeti kuzindua miradi alafu waziri nae anatengewa bajeti kwaajiri ya kukagua mradi pesa zinatumika hovyo🚮
Nchi ikikombolewa kutoka mikononi mwa Wahuni huo upuuzi wa kukimbiza 🔥 wa uchawi utafutwa rasmi
Sahihi,Kweli kabisa fedha zake zielekezwe kwenye miradi ya kuleta maendeleo haiwezekani mwenye unatengewa bajeti kuzindua miradi alafu waziri nae anatengewa bajeti kwaajiri ya kukagua mradi pesa zinatumika hovyo