ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,235
Eron musk,Bill gate,Jack ma, Bakhressa,Diamond,Wakuu habari za wasaa huu,
Leo nimeulizwa swali la ghafla na mdogo Wangu , nimeshindwa Nini cha kumjibu
Nikaona sio Vibaya niwashirikishe , pengine nikaambulia Jambo,
KUSUDI HASA LA BINADAMU KUWEPO DUNIANI NI NINI?
KWANINI TUMEUMBWA ?
nasema michango yenu karibuni👊
Seconded1. Tumeubwa ili tumuwbudu Mungu maana Mungu hawezi kujiabudu mwenyewe.
2. Tumeubwa ili tumiliki na kutawala vile ambavyo Mungu ameviumba. Hapa duniani aliyepewa na Mungu uwakili wa kumiliki na kutawala ni mwanadamu pekee.
we umefanya nini mbona hatukuoni au kazi kuwaquote wengine tuEron musk,Bill gate,Jack ma, Bakhressa,Diamond,
Hawa wote wametumia karamq na vipawa waliovyopewa na Mungu,kujifanya Dunia Iwe Bora,kwa kutoa ajira,kubuni tekinolojia zinazosaidia wanadamu,ebu fikiria zisingekuwrpo smart phone,Ndege,magari,internet,
Na wewe tumia karama yako kuifanya Dunia Iwe Bora,
Sio kuishi kama ngombe au mbwa,kula,kunya,na kulala tu,
Yanafikirisha sanaMaswali Kama haya ndio msingi wa dini kuanzishwa maana watu walijiuliza wakakosa majibu . Tumeumbwa Ili tufurahie uzuri wa Dunia na baadae tusepe Kwa Muumba.
Kazi Yako ni kuabudu Tu ?Mimi binafsi nimeumbwa ili nimuabudu Mungu.
Maana Mungu ni Mungu wa sifa
Bali tumetokea wapi ?Swali limekosewa, Hatujaumbwa.
Umezaliwa Ili iweje ?Mimi nimezaliwa, kuumbwa ni fumbo la imani kutuchanganyia mafile… embrace uhai ndio utajiri wenyewe, hell or heaven is an illusion.
( وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ )Wakuu habari za wasaa huu,
Leo nimeulizwa swali la ghafla na mdogo Wangu , nimeshindwa Nini cha kumjibu
Nikaona sio Vibaya niwashirikishe , pengine nikaambulia Jambo,
KUSUDI HASA LA BINADAMU KUWEPO DUNIANI NI NINI?
KWANINI TUMEUMBWA ?
nasema michango yenu karibuni[emoji109]
Kwa wazaziBali tumetokea wapi ?
Very simple mbona, nilizaliwa, nimekuwa nautafuta uzee…. Nina matter kwa sababu nina volume na nina occupy space. Everyone’s life matters.Umezaliwa Ili iweje ?
Nadhani ni upuuzi tu,bora tusingekuwepo.ukiangalia mauaji yanayotokea sehemu mbalimbali duniani na tabu nyingi zilizopo kwa baadhi yetu utagundua kuna kitu kama upendeleo hivi