Tumetoka mbali sanaaaaaaaa

Ama kweli ni stage za maisha tulikotoka, tulipo na tuendako sijuwi itakuwaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Swali linakuja 'what next'? Are u interested to see the world in 100 yrs to come?
 
Huyu mzee hapa hadhalilishwi anajidhalilisha. Ametoka wapi na vijukuu hivi sasa kama sio mchawi huyu????????????

Nani ndie mwenye mengi ya kupoteza katika maisha yao hapo....Hilo Babu au hao Vijana? Jibu lako litakwambia nani achukue responsible actions kati yao Mkuu.
 
Asante lakini nimeingia Dar mwaka 1967! Na bado nipo!
then ingia club uone jinsi watoto wa mjini watavyo kufundisha jins ya dougeihttp://www.youtube.com/watch?v=aZglqkCRNt8
 
then ingia club uone jinsi watoto wa mjini watavyo kufundisha jins ya dougeihttp://www.youtube.com/watch?v=aZglqkCRNt8

Paty, sio watoto wa mjini, sema watoto walioharibikiwa wanavyo-behave. sisis tulikuwa vijana kama nyinyi, tuliishi mijini, na tulicheza sana mziki wa mika ya 70, 80, hatukufanya hivyo. Ni kuharibika kwa dunia ya watotot wetu kuiga mambo ya marekani na ulaya magharibi! Na wazee nao wameharibika, jizee kama hilo linafanya hivyo na wajukuuu! Shame! Laana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…