Kid kwenye kipindi cha showtime akawa anagonga ngoma za tetemesha.hicho kipindi, Mwanza kulikuwa na radio station kama 4 hivi, lakini wajinga walikuwa hawapigi nyimbo za wasanii wa Mwanza kabisa, unless utoe hela. Na hata ukitoa, watapiga siku mbili au tatu. Kidbway mmoja wao. achilia mbali producers kuwa miungu watu, Radio presenters ndio usiseme.
Q, alikuwa hana noma kabisa. Sema ili mwende sawa nenda na chupa ya konyagi tu.Kid kwenye kipindi cha showtime akawa anagonga ngoma za tetemesha.
Siku mimi na hao hao wanangu tukaenda kwa Q the don, jamaa alikuwa mlevi tumefika asubuhi kalala mpaka saa nane na pesa tushalipa.
Sema alikuwa mwana sana.
Yah kaamka kaagza bapa π π π anatusikilizisha ngoma ya tunda neila remix alikuwa kaitengenezaa yeye.Q, alikuwa hana noma kabisa. Sema ili mwende sawa nenda na chupa ya konyagi tu.
Huoni kutokutoka kwao ni kosa lako mzee wa connectionππππYah kaamka kaagza bapa π π π anatusikilizisha ngoma ya tunda neila remix alikuwa kaitengenezaa yeye.
Yani nilikosa kosa kuwa manager, maana mm nlikiwa naamini wanangu wasanii wakali nawachangia ela wakatoe ngoma halafu hawakuwahi kutoka pumbavu zaoo π π
Hahaha mkuu hawakuwa serious, waliharibu pesa yangu maana q aliwatengenezea beat hawakurudi kuingiza vocal wakati tulilipa full. Wajinga walikuwa wananijaza eti wananiita manager, badala ela ya kutumia boarding nitumie najichanga kuwapeleka studio π π πHuoni kutokutoka kwao ni kosa lako mzee wa connectionππππ
π π π πHahaha mkuu hawakuwa serious, waliharibu pesa yangu maana q aliwatengenezea beat hawakurudi kuingiza vocal wakati tulilipa full. Wajinga walikuwa wananijaza eti wananiita manager, badala ela ya kutumia boarding nitumie najichanga kuwapeleka studio π π π
Kweli kabsa mimi nina sound card na condensor sema ni kwa ajili ya voice over na vyote nilivinunua pesa ya madafu π π π . Back then vitu vilikuwa adimu sana pc zenyewe ram 500mbπ π π π
Inabidi wakurudishie pesa yako aisee....
Back to the topic, mziki siku hizi umekuwa siyo gharama sana. Kwa mfano mimi hapa nishatengeneza mabeat kibao nataka nijichange niagize vifaa vichache nijaribu kufanya ngoma mbili tatu. ππππ
Zama za kusimangwa na maproducer zimepitwa na wakati.
Hivi mkuu hapa kibongobongo kuna duka la kuminika la vifaa vya muziki kama headphone, soundcard...nk. Maana bongo haiaminiki, fake nyingi...Kweli kabsa mimi nina sound card na condensor sema ni kwa ajili ya voice over na vyote nilivinunua pesa ya madafu π π π . Back then vitu vilikuwa adimu sana pc zenyewe ram 500mb
Lipo mkuu, sema mimi nlinunua kwa jamaa flan anauza vifaa insta vingine used vingine vpyaHivi mkuu hapa kibongobongo kuna duka la kuminika la vifaa vya muziki kama headphone, soundcard...nk. Maana bongo haiaminiki, fake nyingi...
Nipe jina lake mkuu nikacheki vyuma..Lipo mkuu, sema mimi nlinunua kwa jamaa flan anauza vifaa insta vingine used vingine vpya
Nipe jina lake mkuu nikacheki vyuma..
Pamoia mkuu...VIFAA VYA STUDIO. (@mzazi_musicequipment) β’ Instagram photos and videos
2,536 Followers, 942 Following, 204 Posts - See Instagram photos and videos from VIFAA VYA STUDIO. (@mzazi_musicequipment)instagram.com
Weka tunabang niipakue aisee ile biti ni balaaMapacha - 50/50 | Ngomanagwa
Mapacha - 50/50 by Ngomanagwa, Hip Hop music from Dar es Salaam, TZ on ReverbNationwww.reverbnation.com
Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali.
Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa kwenye mixing ilikuwa chini sana.
Imenibidi nisikilize ngoma nyingi zaidi nikagundua ni maproducer wachache kama Pfunk na Master Jay ndiyo walikuwa wanafanya mixing nzuri.
Wengi ilikuwa ni kutengeneza beat ukatupia vocals tu na mziki unaenda.
Teknolojia imeenda kasi, zamani kurekodi ilikuwa kazi ila ukisharekodi umetoka. Leo kurekodi rahisi ila kutoka ndiyo kazi.
Maproducer walikuwa Mungu watu, nimemsikiliza Nikki Mbishi anasema prod kameta aliwahi wamwagia bia kisa tu wamekaa nje ya studio wanasubiri walau wazungumze naye.
Nikakumbuka miaka hiyo niliwah wapeleka wanangu kwa Kidbway - tetemesha records akatukalisha nje kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa moja usiku mpaka Hussein Machozi alipoenda kumbembeleza walau atoke aongee nasi.
Ila kwa sasa teknolojia imebadili kila kitu studio nyingi, msanii anaweza rekodi sehemu yoyote na ngoma ikawa nzuri, shida ngoma ni nyingi na kupigwa redion ni majaliwa.
Hao jamaa zako kwa sasa wapo wapi??Hahaha mkuu hawakuwa serious, waliharibu pesa yangu maana q aliwatengenezea beat hawakurudi kuingiza vocal wakati tulilipa full. Wajinga walikuwa wananijaza eti wananiita manager, badala ela ya kutumia boarding nitumie najichanga kuwapeleka studio π π π