Tumetoka mbali - kuna ngoma za zamani ni kama vile vocal imerekodiwa kwa simu ikadondosjwa juu ya beat

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,037

Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali.

Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa kwenye mixing ilikuwa chini sana.

Imenibidi nisikilize ngoma nyingi zaidi nikagundua ni maproducer wachache kama Pfunk na Master Jay ndiyo walikuwa wanafanya mixing nzuri.

Wengi ilikuwa ni kutengeneza beat ukatupia vocals tu na mziki unaenda.

Teknolojia imeenda kasi, zamani kurekodi ilikuwa kazi ila ukisharekodi umetoka. Leo kurekodi rahisi ila kutoka ndiyo kazi.

Maproducer walikuwa Mungu watu, nimemsikiliza Nikki Mbishi anasema prod kameta aliwahi wamwagia bia kisa tu wamekaa nje ya studio wanasubiri walau wazungumze naye.

Nikakumbuka miaka hiyo niliwah wapeleka wanangu kwa Kidbway - tetemesha records akatukalisha nje kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa moja usiku mpaka Hussein Machozi alipoenda kumbembeleza walau atoke aongee nasi.

Ila kwa sasa teknolojia imebadili kila kitu studio nyingi, msanii anaweza rekodi sehemu yoyote na ngoma ikawa nzuri, shida ngoma ni nyingi na kupigwa redion ni majaliwa.
 
hicho kipindi, Mwanza kulikuwa na radio station kama 4 hivi, lakini wajinga walikuwa hawapigi nyimbo za wasanii wa Mwanza kabisa, unless utoe hela. Na hata ukitoa, watapiga siku mbili au tatu. Kidbway mmoja wao. achilia mbali producers kuwa miungu watu, Radio presenters ndio usiseme.
 
Kid kwenye kipindi cha showtime akawa anagonga ngoma za tetemesha.
Siku mimi na hao hao wanangu tukaenda kwa Q the don, jamaa alikuwa mlevi tumefika asubuhi kalala mpaka saa nane na pesa tushalipa.
Sema alikuwa mwana sana.
 
Q, alikuwa hana noma kabisa. Sema ili mwende sawa nenda na chupa ya konyagi tu. :D
 
Yah kaamka kaagza bapa 😅😅😅 anatusikilizisha ngoma ya tunda neila remix alikuwa kaitengenezaa yeye.
Yani nilikosa kosa kuwa manager, maana mm nlikiwa naamini wanangu wasanii wakali nawachangia ela wakatoe ngoma halafu hawakuwahi kutoka pumbavu zaoo 😅😅
 
Huoni kutokutoka kwao ni kosa lako mzee wa connection😂😂😂😂
 
Hahaha mkuu hawakuwa serious, waliharibu pesa yangu maana q aliwatengenezea beat hawakurudi kuingiza vocal wakati tulilipa full. Wajinga walikuwa wananijaza eti wananiita manager, badala ela ya kutumia boarding nitumie najichanga kuwapeleka studio 😅😅😅
 
😂 😂 😂 😂
Inabidi wakurudishie pesa yako aisee....

Back to the topic, mziki siku hizi umekuwa siyo gharama sana. Kwa mfano mimi hapa nishatengeneza mabeat kibao nataka nijichange niagize vifaa vichache nijaribu kufanya ngoma mbili tatu. 😂😂😂😂

Zama za kusimangwa na maproducer zimepitwa na wakati.
 
Kweli kabsa mimi nina sound card na condensor sema ni kwa ajili ya voice over na vyote nilivinunua pesa ya madafu 😅😅😅. Back then vitu vilikuwa adimu sana pc zenyewe ram 500mb
 
Hivi mkuu hapa kibongobongo kuna duka la kuminika la vifaa vya muziki kama headphone, soundcard...nk. Maana bongo haiaminiki, fake nyingi...
 
Lipo mkuu, sema mimi nlinunua kwa jamaa flan anauza vifaa insta vingine used vingine vpya
 
Hiyo 50/ 50 bonge la ngoma waifanyie remix kwenye studio ya kisasa.. ongeza fid pale kati.na Lord eyez, .. itakuwa na fleva tofauti na itawarudisha kwenye gem.. hata ile mikwara ya GK ingefiti humo ila tatizo kile kigugumizi !
 
Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali.

Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa kwenye mixing ilikuwa chini sana.

Imenibidi nisikilize ngoma nyingi zaidi nikagundua ni maproducer wachache kama Pfunk na Master Jay ndiyo walikuwa wanafanya mixing nzuri.

Wengi ilikuwa ni kutengeneza beat ukatupia vocals tu na mziki unaenda.

Teknolojia imeenda kasi, zamani kurekodi ilikuwa kazi ila ukisharekodi umetoka. Leo kurekodi rahisi ila kutoka ndiyo kazi.

Maproducer walikuwa Mungu watu, nimemsikiliza Nikki Mbishi anasema prod kameta aliwahi wamwagia bia kisa tu wamekaa nje ya studio wanasubiri walau wazungumze naye.

Nikakumbuka miaka hiyo niliwah wapeleka wanangu kwa Kidbway - tetemesha records akatukalisha nje kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa moja usiku mpaka Hussein Machozi alipoenda kumbembeleza walau atoke aongee nasi.

Ila kwa sasa teknolojia imebadili kila kitu studio nyingi, msanii anaweza rekodi sehemu yoyote na ngoma ikawa nzuri, shida ngoma ni nyingi na kupigwa redion ni majaliwa.
Weka tunabang niipakue aisee ile biti ni balaa

Magenge ya mwenge
 
Hahaha mkuu hawakuwa serious, waliharibu pesa yangu maana q aliwatengenezea beat hawakurudi kuingiza vocal wakati tulilipa full. Wajinga walikuwa wananijaza eti wananiita manager, badala ela ya kutumia boarding nitumie najichanga kuwapeleka studio 😅😅😅
Hao jamaa zako kwa sasa wapo wapi??
 
Back
Top Bottom