Tumesahaulika sisi wa diploma UDOM

Tumesahaulika sisi wa diploma UDOM

sanjomnyama

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
261
Reaction score
160
Jaman wadau nisaidieni kwa ushauri kuhusu sisi tulio apply direct chuoni (UDOM) kwa diploma, ni mwezi wa 3 sasa hawajatujibu mpaka leo je wametusahau au ndo habari yetu imeisha??
 
Je diploma to degree acha kabisa hii inchi inakera sana inatakiwa watoe majina haraka mzazi ajipange na ada lakin wao naona watatoa majina leo chuo kinafunguliwa kesho
 
Ubaya ni kwamba wapo kimya na muda unazidi kwenda
Mmefanya machaguo juzi tuu mnalala watu tumemaliza vyuo kitambo na yupo kitaa maisha yanaenda bila job nyie kufanya selection nyuzi tuu mnalalamaa nawashangaa sana vumilieni
 
Wala msijali hata mwaka jana ilikuwa hivyo,chuo mtapata tu kama mnavigezo.Inatakiwa mfuatilie majina yanayotolewa na vyuo
 
Wala msijali hata mwaka jana ilikuwa hivyo,chuo mtapata tu kama mnavigezo.Inatakiwa mfuatilie majina yanayotolewa na vyuo
Mkuu toka mwezi wa 8 ndo tuliomba hadi leo???
 
Siku za kufungua chuo Kwa first year Bado kama wiki tatu kwahiyo tulieni watatoa tu
 
Back
Top Bottom