Tumesahau usalama wa barabarani

Tumesahau usalama wa barabarani

Ndusty

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2009
Posts
407
Reaction score
146
Heshima mbele wakuu.

Nadhani Serikali imesahau kuhusu usalama wa barabarani. Hatuna cameras za kumoniter vyombo vya usafiri. Its a good angle kupata mapato wakati huohuo ukiwandindisha wananchi kufuata sheria.
 
Back
Top Bottom