the people
Member
- Oct 28, 2011
- 59
- 4
Ni wa chama gani kwani?
Mkuu "The people nakupa pole kwa kupotelewa na mbunge wako , sisi huku pinyiny alipta mara ya mwsho wakat wa kura za maon hadi leo hakuja hata kusema asanten. Ningejua ningeshawish wamasai wenzangu tumpitishe mzee mmoja aliekua anagombea nae tena alikua mzee mzur sana anaitwa Pius Pongo huyu mzee ndye angefaa kwa nasikia anaupendo wa kwel kwa jamii zote kulko wenzanke. Hata hivo nasikia kuna kijana kutoka kabila la kisonjo tena ni mtoto wa huyo mzee pongo wanamsema kuwa anaweza kuongoza mchakamchaka wa 2015.
Niko naye hapa tunakula viroba!
zidumu fikra za mwenyekiti.ni wa chama gani kwani?
nimeona picha yake kwenye google nmejaribu kuapload nimeshindwa ila kwa mwonekano haonekani kama sura ya kazi, nyie mlimpa mtu kwenda kupumzika
Unatafutwa jimboni kwako banaaa ni aje!? Mbona umekuwa hivyo? Rudi jimboni ukaongee na wapiga kura wako uwaeleze sababu za kupotea kwako, huku ahadi zako zikiendelea kubaki ahadi.
Atarudi kuja kuomba KULA July 2015 yupo MUJINI Dar na Dodoma anakula maraha ya kuwa mbunge na kukusanya data za mambo mbali mbali aliyofanya jimboni tangu mumchague October 2010.