Tumepigwa!

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
431
Reaction score
388
Habari Mwana jamvi!

Ilituendelee Tunahitaji mambo kadhaa watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Tokea uhuru 1961, Rais awamu ya kwanza mpaka Leo awamu hii ya sita tulicho nacho ni ardhi tu hakuna kingine. Na yenyewe tunapoelekea itakwenda kupotea kama waliopo hawata changa karata zao vyema.

Ardhi inatupa madini ambayo huenda wannufaika wa kubwa ni wachimbaji na mirabaha inayolipwa na wawekezaji japo kwa asilimia ndogo. Si ndio kesi ya makinikia na riport ya Wajalalani tuliona kilichotokea, sound nyingi hakuna cha maana.

Tanzanite made from?? Utashangaa ya musa. Kwenye ardhi. Walichofanyiwa babu zetu ndicho wanavhofanyiwa hawa so called wazalendo kuila hii nchi.

Ili tuendelee tuna hitaji watu. Sio hawa wapiga dili na walevi wa madaraka.. Tunahitaji watu watakao simamia rasilimali zetu kwa uadulifu na UWAJIBIKAJI. Hawa tulionao hawatoshi wote wamechafuka.

Watanznia sisi sasa...mpira na bongofleva ndo vitu tunapenda kusikia..

Mpaka Leo bado maji na umeme ni tatizo nchi hii..

Tokea tuna kua... Wagosi wa kaya wanaimba umeme na maji Tanzania ishakuwa kero, watu keroo kerooo...

Kesho uchaguzi tunayachagua tena


Ardhi inatupa chakula. Si ndio tumezoea kilimo cha mvua isiponyesha ni mauwano. Leo debe la mahindi linasoma 20k tupo tu.

Maisha yanazidi kuwa tight kila kukicha. Wenye mali wa naendelea kuwa na mali na masikini wanazidi kuwa masikini. Kwa aina ya viongozi wanaotuongoza, TUMEPIGWA pa kubwa.

 
🤔🤔🤔 sasa mkuu umetoa maelezo marefu lakini haujasema nani katupiga
 
Watu.
Ardhi.
Siasa safi.
Uongozi Bora.

Inapozungumzwa Arhi inajumuisha mambo YAFUATAYO...

1. Maji.
2. Madini.
3.Misitu.
4. Wanyama.
5.Rutuba.

Kwahiyo hata ardhi hatujaweza kunitumia Effectively hata kidogo.
Majangiri.
Wezi wa madini,mikataba.
WATANZANIA 90 hawapati maji ya uhakika.
KUSHINDWA kulima nk nk.

Hakuna tulichokiweza labda kumpaisha piere, Shika, mandonga nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…