Wakuu mpo,
Nimemiss vichambo vyenu.
Jaman Leo sio mm ni shogaangu, huyu shogaang tumetokea kupendana tunafanya kaz office moja namuona hana raha ktk story story ikabid anifungukie aniombe ushaur, iko hv!
Huyu shogaangu ni mke wa mtu anaishi na familia yke na wanamaisha mazuri tu, sasa kuna jamaa mmoja amenunua nyumba karibu yao na kabla hajaamia wakat anafanya ukarabat alikua vifaa vya ujenz anaweka pale kwao
Bas bwana yule Dada akatokea kumuelewa jamaa sana, na yule jamaa akatokea kumuelewa yule Dada ila jamaa alikua anamuogopa yule dada kuwa mke watu alafu jiran ake.
Basi bwana jamaa akaamia na akahamisha familia yke maana kapewa transfer kutoka mkoa bas bwana, yule jamaa akaamua kuvunja ukimya akamtongoza yule dada, Dada nae kampenda jamaa kufa ikabid ampige chenga chenga huku na maneno ya hapa na pale mwisho wa Siku akaamua kumkubalia.
Tatizo sasa hana raha anasema shogaangu Mume wangu akija kujua na mke wake akija kujua itakuaje maana jamaa anampenda sna na yule jamaa anaonekana ni MTU mwenye msimamo sana na anaipenda familia yake.
Anaomba ushaur afanye nn ili asigundulike kuwa anachepuka na jiran ake maana wanapendana sana na wote wanazipenda familia zao ni katika halakat za kufurahia uumbaji yaan wanataka wadumu ktk mahusiano yao wakiwa wanapeana raha na kula bata bila kushtukiwa na majiran wala familia zao.
Jaman msijifanye walokole wachepukaji mpo wengi tu, si wanaume wala wanawake msije mkaanza toa povu, toeni ushaur wa maana mm binafs na ucharuko wangu cjawah date na jiran angu so kwangu hii ni big inshu
Nikamuuliza unaijua inaijua JF akasema haijui nikamuelekeza nikamfungulia kabisa awe anasoma visa na mikasa vya MMU ili ajifunze maisha so yupo humu ila anadai atakua anasoma tu nikamwambia ucjali so niwaombe mumpe mshaur yupo humu anasoma msitukane asije akaiogopa bure Jf maana nilimtahadharisha kuwa watu wa humu some time wana maneno ya kuudh so take it easy.
Mabaharia karibun mpen mbinu shogaangu