Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi!
Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno jipya kwenye kamusi anihabarishe. neno lenyewe ni: 'KUDODOMEZA'!
Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi! View attachment 1056711

Wala siyo jipya kwenye kisukuma! Ni style ya bata anavyosokomeza mdomo kwenye tope au maji machafu! Ile sauti na kitendo tunaita "KUDODOMEJA" ! Ukitohoa hilo neno kuja kwenye Kiswahili inakuwa KUDODOMEZA[emoji41][emoji41][emoji41]