Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,429
Hatujamaliza , labda kama wewe ndio umemalizaSakata la Ben Saanane linaendelea vipi? Amepotea baada ya kupelekewa msg ya vitisho kutoka kwa serikali according to Tundu Lissu.
Amejipoteza nwenyewe kwa sababu slikuwa na special assignment amepewa na chama chake,according to another source.
Why all this misinformation peddling?
Sasa kwa mfano ukiambiwa Katibu Mkuu wa Chadema alikuwa porini anatoa certificate kwa watu wamehitimu mafunzo, halafu ghafla miili sits ilipatikana maeneo hayo hayo. If you piece that information together, what do you get? Kwamba nilikuwa kuna party kule msituni ambayo ilikuwa interrupted?
Hilo la Msituni umemezeshwa propaganda ya kijinga as shamba la chama lipo mbali sana na Ruvu , usimeze uongo huo mzee wanguSakata la Ben Saanane linaendelea vipi? Amepotea baada ya kupelekewa msg ya vitisho kutoka kwa serikali according to Tundu Lissu.
Amejipoteza nwenyewe kwa sababu slikuwa na special assignment amepewa na chama chake,according to another source.
Why all this misinformation peddling?
Sasa kwa mfano ukiambiwa Katibu Mkuu wa Chadema alikuwa porini anatoa certificate kwa watu wamehitimu mafunzo, halafu ghafla miili sits ilipatikana maeneo hayo hayo. If you piece that information together, what do you get? Kwamba nilikuwa kuna party kule msituni ambayo ilikuwa interrupted?
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmwamba nilikuwa kuna party kule msituni ambayo ilikuwa interrupted?
Nani amekwambia wikileaks kazi yake ni uchunguzi?Hivi Tanzania hakuna organization inayohusika na maswala ya UCHUNGUZI wa matukio mazito kama hayo,?
Mfano kama WIKILEAKS..???
OK, interna memo ya CHADEMA inasema swala la BEN lisizungumziwe na mtu wa Chadema, vipi kwa Upande wa POLISI/Yule mtu wa Chadema amesema'Mkinichinja basi,lakini hili jambo lazima niseme. Katibu wetu alikuwa Bagamoyo anagawa vyeti. Hao watu wslihitimu nini?katibu wetu mwenendo wake ulikuwa suspicious Halafu miili sita ilikuwa karibu na shamba letu kule. Shamba ambalo ni more or less abandoned. Najua nimesema hivi itakuwepo temptation ya kunichinja. Lakini ukinichinja haitafichika."
Haya mambo yanasemwa na watu huko Chadema.
Pia kuna internal memo Chadema kwamba swala la Ben Saanane lisizungumziwe na mtu wa Chadema.
uchunguzi kwani unautafsiri vipi?Nani amekwambia wikileaks kazi yake ni uchunguzi?
Nani amekwambia wikileaks kazi yake ni uchunguzi?
Mtu mzm hatafutwi kama mtoto mdogo au mifugo iliyopotea kama taarifa ilishatolewa Polisi inatosha kwa sasa.Hiyo miili ilizikwa faster faster kitu ambacho si sahihi lkn waliofanya hivyo ni lay men.Mbona hujasema kuwa miili ilipookotwa na kuzikwa Harakaharaja kisha Waziri kudai ni miili ya Wahamiaji haramu?
What do you get?
Mtu kuikosoa Serikali,kutumiwa sms ya Vitisho,kupatikana kwa miili saba Ruvu,miili kuzikwa bila Uchunguzi kisha baadae kudaiwa ni ya Wahamiaji haramu?
Connect the dots then utapata jibu.
Kama CHADEMA ndiyo wahusika,Serikali kupitia Jeshi la Polisi lingefanya kila jitihada kutambua Ben yupo wapi ili kuondoa lawama kwamba wanahusika.
Ameshaachiwa ila alishindwa kupata dhamanaFree Max Melo