Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
habari zenu wanajamii?!

mimi ni mmoja wa wahanga wa kukosa mkopo japo nina sifa na kozi yangu ni priority kama na wewe hili limekugusa nashauri j3 twende heslb
 
Habar wana jf mm nimmoja wa wahanga waliokosa mkopo mwaka 2014/2015 &2015/2016 sina hamu ya kuishi tena Kwan mwaka Jana nilishindwa kuendelea na masomo nikasubili mwaka huu napenyewe nimekosa tena pamoja nakuwa na kuwa na sifa yakupewa mkopo ushauli Wako niwamuhimu sana kipind hiki kigumu kwangu
 
habari zenu wanajamii?!

mimi ni mmoja wa wahanga wa kukosa mkopo japo nina sifa na kozi yangu ni priority kama na wewe hili limekugusa nashauri j3 twende heslb

Mim ndio najiandaa naenda leo
 
naombeni kuangaliziwa s0800.0030.2011 plzzzzz wandugu
 
Mi nmeona j3 mbali ukizingatia APA zitapita siku tatu kuanzia leo ni vema kama kunaaliekua na nafasi ya kwenda Leo kama Mimi basi tukutane pale
 
Mi nmeona j3 mbali ukizingatia APA zitapita siku tatu kuanzia leo ni vema kama kunaaliekua na nafasi ya kwenda Leo kama Mimi basi tukutane pale

nw nipo kwenye foleni wakuu hapa heslb, nasubili namba yangu ifike zam yake nimepewa namba 64! Tuungane tudai haki zetu jaman
 
naombeni kuangaliziwa s0800.0030.2011 plzzzzz wandugu
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="class: details2, align: right"]Index Number[/TD]
[TD="class: dots, width: 20px, align: center"]:[/TD]
[TD]
S0800.0030.2011
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: details2, align: right"]Institution[/TD]
[TD="class: dots, align: center"]:[/TD]
[TD]
MOCU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: details2, align: right"]Course[/TD]
[TD="class: dots, align: center"]:[/TD]
[TD]
BSBCIT
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: details2, align: right"]Year of Study[/TD]
[TD="class: dots, align: center"]:[/TD]
[TD]
1
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Loan Breakdown[/h][TABLE="class: table table-bordered, width: 50%, align: center"]
[TR="class: tblrows"]
[TD]Meals and Accommodation (MA)[/TD]
[TD="class: numbers, width: 20%, align: right"]2,099,500[/TD]
[/TR]
[TR="class: tblrows, bgcolor: white"]
[TD]Books And Stationary (BS)[/TD]
[TD="class: numbers, align: right"]200,000[/TD]
[/TR]
[TR="class: tblrows"]
[TD]Field Practical and Trainings (FPT)[/TD]
[TD="class: numbers, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR="class: tblrows, bgcolor: white"]
[TD]Tuition Fee[/TD]
[TD="class: numbers, align: right"]540,000[/TD]
[/TR]
[TR="class: tblrows"]
[TD]Research[/TD]
[TD="class: numbers, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR="class: tblrows, bgcolor: #D9EDF7"]
[TD]Special Faculty Requirements (SFR)[/TD]
[TD="class: numbers, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR="class: tblrows"]
[TD]TOTAL AMOUNT[/TD]
[TD="class: numbers, align: right"]2,839,500[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

nw nipo kwenye foleni wakuu hapa heslb, nasubili namba yangu ifike zam yake nimepewa namba 64! Tuungane tudai haki zetu jaman

Mkuu mi nipo kwenye gari nakuja uko sijui ntapata namba gani asiee inaonekana kuna foleni sana
 
ukiangalia vipi tumain lpo hao wanaotoka ukiwangalia usoni vipi,

Umenifuraisha japo ni sirious ishu mana umeongea kama vile watu wnavyotoka kweny chumba chakupma vvu USO ndo utaonyesha kama kwema au si kwema.ngoja nikajaribu na mimi
 
mnaoenda mkifanikiwa mtupe mrejesho
 
kuna mtu yyte wa BEMIT ya NIT hapa?!
 
Back
Top Bottom