My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
Ni wewe tu hutabarikiwa tena ukose hata hela ya kununua chumvi . TunaliombeaTaifa letu lineemeke kwa ujazo mara dufu 2018Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
Vp kichwa kichafu,hakipondwi?Wanaponda kwa kila kichwa kitakochojiinua
Katubuni!Naomba kujua tu uhuru wa habari gani. Hapa ujinga wako nani kakuzuia. Press conference ngapi mnaita kwa mwezi. JF mmeiteka. Hata Leo makanisa uchwara. Sasa unataka uhuru es kuvuliwa chupi
Hilo dira mbona linapatikana ufipa, hujaliona bado?Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
Heading ya thread yako haiendani na ujumbe ulioutoa. Inabidi uongeze juhudi kuoanisha heading na ujumbe unaotaka kuutoa viendane.Ni unafiki tu ndo umetawala ndani ya taifa hili, kila mtu anaogopa kusema ukweli, na anayethubutu atashugulikiwa na watu wasiojulikana.
Ni Kakobe mtumishi wa kweli wa Mungu ndo kathubutu, huku Tundu Lissu akiugua kwa kuchakazwa kwa risasi.
Demokrasia imezikwa, uhuru wa habari umezikwa, kupotea, kufungwa na kuuawa ndo jadi imekuwa.
Mungu hawezi kubariki taifa la wanafiki Kama Tanzania, nasema hawezi kubariki kwa sababu Mungu si mwanadamu anayekumbatia Unafiki.
Uko wapi Ben Saanane? Ulipotea kwa sababu ya kukosoa?
Uko wapi Azori? Na wewe umepotea kwa ya uandishi wako?
Tundu Lissu na wewe kosa lako lilikuwa nini?
Hakuna baraka kwa taifa linalomwaga damu zisizo na hatia.
nafikiri nikukata fimbo na kuanza kichapa hewa au inakuaje mkuuAnasema tuchape kazi, lakini ajira hatoi wala hatengenezi.
Unajua kipato changu wewe mbwiga? Shukuru tu kwamba tunaficha ID zetu kwa usalama, ningekuonyesha uchumi wangu ili uheshimu watu wote, na sitafirisika hadi kufa.Ni
Ni wewe tu hutabarikiwa tena ukose hata hela ya kununua chumvi . TunaliombeaTaifa letu lineemeke kwa ujazo mara dufu 2018