Dah mitandao siku hizi inatumika vibaya Sana kueneza propaganda mbaya kuhusu kitu flani Apo utakuta Kuna muhuni mmja kapiga pich ya kuotea ili achafue watu Basi ila kuwa msukuke ni kazi Sana sababu utakubali kila kitu ata kile kinachojidhihirisha kw macho tu,,,