Watanzania wajifunze kupambania haki zao. Vinginevyo .....!!Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
🙋♂️✍️🎯👍👌👏🤝🙏Sema nimechoka
Sio tumechoka
Wewe na nani mmechoka kiasi cha kwenda leba?
CCM ni janga la taifa.
Muulize SGR
Na haswa makelele ya yule mpuuzi wa machame alihamia ArushaCHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Wewe ni mmoja kati ya wapuuzi wengi, endelea kufurahia uhuni unaofanywa na viongozi wako,mengine achana nayoCHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Nikuulize swali: Walipoitisha maandamano ulikwenda ?CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Kwanza sema wewe ndio umechoka, pili kwa misconduct hizo unata wakae kimya? Unataka walete vurugu halaf mseme chama cha hovyo?CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Hakuna sheria ya kumzuia mtu kugombea hata kama hakujiandikishaSasa kama hamkujiandikisha katika daftari la wapiga kura mtagombeaje? Vigezo na masharti kuzingatiwa!
Kama umetumwa, waambie waliokutuma kuwa hatutaingia kwenye huo mtego!CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Hivyo ndivyo ilisemwa a long time ago by some lawyer: kwamba Sheria haimzuii kugombea nafasi ya uongozi mtu ambaye hajajiandikisha kupiga kura .Hakuna sheria ya kumzuia mtu kugombea hata kama hakujiandikisha
Fanya yako wacha serikali ifanye yake unless we ni mwanasiasaNikuulize swali: Walipoitisha maandamano ulikwenda ?
Uliwahimiza /wahamasisha wangapi kwenda kwenye maandamano?
Now propose wafanyeje, wape la kufanya. If it were you, a Chadema authority for that matter, what would you have done in this situation of Tanzania brutal police and government!?
Kama hueshimu kujiandikisha unagombea nn xx ?Hakuna sheria ya kumzuia mtu kugombea hata kama hakujiandikisha
Haki huwa inapiganiwa. Haki haiji kirahisi rahisi hivyo.Kwanza sema wewe ndio umechoka, pili kwa misconduct hizo unata wakae kimya? Unataka walete vurugu halaf mseme chama cha hovyo?
acha walalamike ikiwezekana waende mahakamani
gentleman,CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Umeelewa alichoandika mtoa post? Au ndio unyumbu wa Chadema unaleta!?Sema nimechoka
Sio tumechoka
Wewe na nani mmechoka kiasi cha kwenda leba?
CCM ni janga la taifa.
Muulize SGR
Change channel tu mzee babaaaCHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.
Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Mmmh muongo wewe unajikosha tu hapa kwa sababu hatujui uko wapi, hebu lete ushahidi wa orodha ya wagombea tuone kama kweli wote wapoHaki huwa inapiganiwa. Haki haiji kirahisi rahisi hivyo.
Sisi huku kwetu hakuna aliyekatwa hata mmoja. Tuliwaambia kabla, wakati na baada ya kuchukua fomu kuwa, atakayethubutu kutuhujumu katika zoezi hili, awe tayari kutafuta Nchi ya kuishi kwa sababu Nchi hii itakuwa imemshinda.
Tuliendelea kuwakumbusha kwa kauli hii.
Kuna mmoja alijaribu kujichanganya tukamchanganya kisawa sawa. Baada ya hapo wengine wote wakashika adabu.
Hakuna mtu hata mmoja aliyekatwa.
Wakati mwingine DAWA YA MOTO NI MOTO.