Wanaogopa kuchekwa! Sitta akitoka huko sujui atasali wapi maana amewaita maaskofu wapuuzi, maaskofu aliowasifu siku anaapa kuwa mwenyekiti wa bunge maalumu.
Mzer hata juzi nimeulizia hapa jf kwamba Mzee Tupa Tupa yuko wapi?Maana siku zote taarifa zako somehow verified tofauti na wanaccm wenzako kama Lizaboni,Chaburuma,Ritz,n,k.Wao ilimradi kila asubuhi watumiwe bundle toka Lumumba basi wanapost kila porojo ilimradi matumizi ya bundle yaonekane na buku 7 iandikiwe vocha.
Me nafikiri huyu ana shahada ya unafiki kutoka chuo cha UKAWA.
Me nafikiri huyu ana shahada ya unafiki kutoka chuo cha UKAWA.
Acha unafiki wewe.
Haa haa kikosi kazi kimetua dodoma kwa uchakachuaji, kwa kweli nimeamini kwa uchakachuaji ccm hakuna mfano! Kwa nini mlazimishe kura za hapana ziwe za ndio?
Wanaogopa kuchekwa! Sitta akitoka huko sujui atasali wapi maana amewaita maaskofu wapuuzi, maaskofu aliowasifu siku anaapa kuwa mwenyekiti wa bunge maalumu.
Acha unafiki wewe.
Mzee Tupatupa siku zote amekua ni msema kweli kwa habari zote za ndani za Lumumba tofauti na nyie mpaka msome kwanza kwenye magazeti.
Viva Tupatupa viva!!!!
sasa wanaona umuhimu wa maridhiano badala ya ubavu na ubabe ambao umeshindwa kutimiza akidi
ccm ni chama cha mazuzu
taraaatibu naanza kumuwaza na kupima waraka wa kakobe
Kwa maana hiyo kura zote za siri wamezisilimisha kuwa NDIO.. hizi za HAPANA za macho kuona ndio zinawatoa jasho.. Kumbe kura za wazi zina uzuri wake bhana.. Pigo moja Takatifu Six Chali.