Tume za kiserikali hizi!!!

Rabi wa Leo

Senior Member
Mar 5, 2012
104
25
Kwa mara nyngne tena tunakwenda kuishuhudia tume ya kiserikali ikikabidhiwa jukumu la kulichunguza tukio la kutekwa na kupigwa kwa Dr.Ulimboka..Hii inanikumbusha miaka kadhaa ilipopita pale ndugu yangu Saeed Kubenea alipomwagiwa Tindikali..Vipi,ile tume ilisharudisha report?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…