Nawe umeandika bwana!nape anajisumbua buule kabisa.
anatakiwa ajue kwamba.utawala huu hautambui mawazir wala mahakama,kazi wanafanya Rais,wakuu wa mikoa na wiraya.
hakuna cha pm wala mawaziri.na ndio maana wenzie wakina mchemba wameuchuna wanakula mishahara tu,wanasubiri kipindi cha bajet kifike wapewe makablasha feki wakayasome basi.