T tatu3 Member Joined Nov 22, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Dec 21, 2014 #1 Mwenye updates pls atujuze
S sina bega Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Dec 21, 2014 #2 tatu3 said: Mwenye updates pls atujuze Click to expand... wametangaza job nini?
T tatu3 Member Joined Nov 22, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Dec 21, 2014 Thread starter #3 sina bega said: wametangaza job nini? Click to expand... Hapana kuhusu zile post za hakimu mkazi
I instagramboy JF-Expert Member Joined Oct 16, 2014 Posts 1,521 Reaction score 346 Dec 21, 2014 #4 Wametoa majina gazeti la leo nafasi za afisa utumishi na utwala mwananchi habari leo
neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 Dec 24, 2014 #5 Vipi kuhusu za hakimu mmkazi IIIbado hhawajaita? Walipiga tu simu kuuliza kama watu bado wapo available hlf kimyaaa naona
Vipi kuhusu za hakimu mmkazi IIIbado hhawajaita? Walipiga tu simu kuuliza kama watu bado wapo available hlf kimyaaa naona
Jaffary JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 808 Reaction score 386 Dec 24, 2014 #6 hawana web site, sijawahi kuifungua ikafunguka, kwa hiyo taarifa zao inakuwa ngumu kuzipata.
M mzuri homy Member Joined May 24, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Dec 25, 2014 #7 plz naomba kama umeona majina ya afisa tawala plz naomba uniandikie hayo majina bcoz nmechelewa kupata gazeti
plz naomba kama umeona majina ya afisa tawala plz naomba uniandikie hayo majina bcoz nmechelewa kupata gazeti
S sina bega Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Dec 29, 2014 #8 nimeyaona.. tuma jna yako full nkuchekshie