Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,690
- 239,249
Kama ikitokea Tume ya uchaguzi kupitisha mgombea mwenye matatizo ya akili , ama matatizo mengine yoyote ya kiafya yanayoweza kusababisha matatizo ya uongozi , ama hata shida yoyote wakati wa kampeni, kama vile mgombea kutukana wananchi ama labda hata kuanguka jukwaani , inawezekana kuiburuza Tume hiyo Mahakamani ?
Na je tunaweza kuwaunganisha kwenye kesi hiyo WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHAMA HUSIKA kwa kupitisha mtu mwenye matatizo ?
Na je tunaweza kuwaunganisha kwenye kesi hiyo WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHAMA HUSIKA kwa kupitisha mtu mwenye matatizo ?