Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi bado inashughulikia pingamizi & rufaa dhidi ya wagombea, Watanzania waombwa kuwa na subira

Huoni amejaza. Na mbona juzi juzi kuna wizara ya fedha Uganda ilipima wafanyakazi korona tarehe 28.08.2020 majibu yakarudi tare 14.08.2020 kuwa wana korona
Hoja yako ni nini hapa? Mbona unafananisha vitu visivyo fanana? Kwa hiyo kama wao walikosea ndio justification ya hawa pia kukosea?

Unafananisha ripoti ya kitabibu na fomu ya uchaguzi, unaona zina madhara sawa endapo zikikosewa kujazwa tarehe? Kwa ripoti ya kitabibu tarehe ikikosewa inabadili na majibu ya vipimo vya mgonjwa?
 
Back
Top Bottom