Shokolokobangoshey
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 311
- 82
Hivi jamani baada ya kuanguka kwa jengo chang'ombe mwaka 2006 if am not mistaken iliundwa tume famously known as Tume ya Lowasa nayo ilikuja na majibu na proposals sasa kuna lolote lilitekelezwa na serikali kati ya yote yaliopendekezwa na tume? If not why? Na tume members si walikuwa wanalipwa kwa fedha za umma? Sasa huo sio ufujaji wa fedha za umma? Kwa sababu nina imani kabisa kama matokeo ya tume ya Lowasa yangefanyiwa kazi naamini kabisa haya yaliotokea wiki iliyopita yasingetokea tena! Na mbaya zaidi serikali haiwezi na haitoeleweka na wananchi kuzungumzia tena swala la kuunda tume wakati matokeo ya tume iliyopita bado hayajafanyiwa kazi! Labda iundwe tume ya kuchunguza kwa nini matokeo ya tume ya Lowasa hayajafanyiwa kazi hadi leo! Manake asiyejua maana haambiwi maana