Ilikuwa inamngoja muhusika mkuu Ulimboka aeleze vizuri pale leaders aliagana na nani na kwanini? na alikuwa na nani? na kwanini wenzake waliachwa?
Nna uhakika atatoa ushirikiano.
Ndugu wanaJF naomba kujuzwa hivi ile tume iliyoundwa na kamanda Kova kuchunguza watesaji wa Dr. Ulimboka imeshaanza kufanya kazi yake? Je kuna mwenyekujua hadidu za rejea anazotumia kamanda Kova? Je na ile tume iliyoundwa pia kufuatilia tishio la kudhuriwa Dr. Mwakeyembe nayo imeishiwa wapi? Je pia kamanda Kova atamhoji Dr. Ulimboka juu ya watesaji wake ambao yeye Dr. Ulimboka alikiri kuwafahamu?
Naomba kuwasilisha.
Angekufa ushirikiano ungeupata toka kwa nani?majini na ardhi tayari bado mtoe na kafara za angani nyie watawala kwa damu za watu ndo fahari yenu.o
Kwani kova ndiye aliunda tume au anaongoza tume iliyoundwa? Hana kosa kova, ila mimi kinchoniuma ni kwa nini tume wakati Ulimbuka anastahili kunyongwa kama ni nchi za wengine kwa kuhatarisha maisha ya waanchi walio wengi na wenye haki ya kuishi.Kova hata anajua ToR maana yake nini au anaunda tume na kuomba mipesa tu...wakimaliza anatoa ripoti uongo kwenye media kwisha!!anatumika vibaya sana na ataishia kutumiwa na kuachwa!mbeleko mwisho hapo hapo
Ndugu wanaJF naomba kujuzwa hivi ile tume iliyoundwa na kamanda Kova kuchunguza watesaji wa Dr. Ulimboka imeshaanza kufanya kazi yake? Je kuna mwenyekujua hadidu za rejea anazotumia kamanda Kova? Je na ile tume iliyoundwa pia kufuatilia tishio la kudhuriwa Dr. Mwakeyembe nayo imeishiwa wapi? Je pia kamanda Kova atamhoji Dr. Ulimboka juu ya watesaji wake ambao yeye Dr. Ulimboka alikiri kuwafahamu?
Naomba kuwasilisha.
kwa hakufa sasa? Inakera sana , mjomba angu kafa kutokana na ule mgomo, Ulimboka mimi akipita anga zangu walahi namtoa roho.
kwa hakufa sasa? Inakera sana , mjomba angu kafa kutokana na ule mgomo, Ulimboka mimi akipita anga zangu walahi namtoa roho.
Kwani kova ndiye aliunda tume au anaongoza tume iliyoundwa? Hana kosa kova, ila mimi kinchoniuma ni kwa nini tume wakati Ulimbuka anastahili kunyongwa kama ni nchi za wengine kwa kuhatarisha maisha ya waanchi walio wengi na wenye haki ya kuishi.