Unauliza maswali ya kijinga. Unaelewa maana ya neutrality and conflict of interest?Tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Vyama vya Upinzani wakidai Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 uwe wa haki na huru. Sasa najaribu kutafakari, hawa vyama pinzani wataona uchaguzi wa 2020 kuwa upo huru na haki endapo watausimamia wenyewe?
Maana inafahamika sheria na taratibu za uchaguzi zilivyo na katiba yetu inajieleza pia. Jamani wakati mwingine tufikie hatua tukubaliane na utaratibu tuliojiwekea wenyewe na hata Rais Magufuli ameuthibitishia umma kuwa uchaguzi 2020 utakuwa wa huru na haki, tuelewe tu na kuaminiana.
Wapinzani wasije wakaona uchaguzi 2020 amechaguliwa Magufuli tena, wakaanza na mambo yao ya kusema uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki,watambue tu Magufuli anapendwa na kila rika.
Na makamishna wa tume huru ya uchaguzi wawe na security of tenure siyo kuteuliwa na kufukuzwa pasipo na sababu za kisheria na kikatiba ktk utumishi wao. Tume huru ndiyo itasimamia chaguzi zote ktk ngazi kuanzia mitaani mpk taifa siyo wizara ya tamisemi ambayo viongozi wake ni makada wa chama cha siasa ambacho ni mshindani! Sawa na mechi ya simba na yanga umpe mwenyekiti wa simba jukumu la kuteua refa na washika vibendera na makamisaa. Mwisho tume iwajibishwe mahakamani pindi inakosea ktk utendaji kazi na maamuzi - no immunity.Kwanza jina lake tu liwe ni TUME HURU YA UCHAGUZI
Viongozi wake wapatikane kwa njia ya ushindani wa wazi, kazi zao kuanzia Mwenyekiti, Katibu na Wajumbe/makamishna wa tume zitangazwe na waombe kupitia kwa katibu wa Bunge, wafanyiwe usahili na Bunge na waapishwe na Jaji Mkuu, na wasiripoti kwa mtu yeyote,
Tume iwe na watumishi wake wengine wa kudumu ambao hawapaswi kuwa wafuasi wa chama chochote cha siasa.
Tume iwe inapewa fedha zake mojakwa moja na hazina kupitia kwa CAG
Tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Vyama vya Upinzani wakidai Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 uwe wa haki na huru. Sasa najaribu kutafakari, hawa vyama pinzani wataona uchaguzi wa 2020 kuwa upo huru na haki endapo watausimamia wenyewe?