Hapa Tanzania Serikali za mitaa ni dhaifu. Ni wangapi kati yetu ambao tunamfahamu diwani wetu ni nani.
Nimeona USA jinsi ambavyo sheria a mitaa zinawekwa kwamba hairuhusiwi kupigana ndani ya vyombo vya Pubilc Transport. Sijaona hapa sheria watu wasibishane ndani ya daladala.