Tuliwahi kuishi ughaibuni na kurudi bila mafanikio!

***** mimi nimekulia sehemu mabro wote walikua wanandoto za kuamsha tu mbele tu .Mimi mwenyewe nimepambana sana niondoke bongoland .5m tu ikanilostisha na akili za kizamani za wanandugu.Sema sio case niko natombanisha mijusi kwenye korido kwenye korido za mahakama .
 
Mozambique napo panaitwa ughaibuni?

Hapana ni maswa maana unakata tiketi tu ya kisbo unafika bila kugonga passport yoyote na ukifika unaishi tu kwa uhuru na husumbuliwi na Renamo wala Frelimo na felipe Nyuzi na Marehemu dlakhama hawana say huko
 
Mkuu sasa hvi nipo maeneo ya west hood ,lusaka west , zambia
tunasogeza siku tu
 
Hivi south Africa,Zambia, Mozambique pia ni ughaibuni?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Botswana ilikua zamani kipindi hicho hawajabadili mambo ya vibali kuishi pale na kufanya kazi kwa wageni au kwa wageni ukioa pale ilikua wanapewa vibali vya kuishi na kufanya kazi kirahisi ukipigwa PI huwezi hata kwenda kufata kitu chochote kilicho nje ya ulipo..huyo aliamua kurudi mwenyewe na simu zake akaamua awadanganye ninyi alikua na simu 100 chini ya ulinzi harafu simu zenyewe kesi tosha...wengi wanaofutiwa vibali vya kuishi ni wale wanaokorofishana na wake zao kwa hiyo hawezi kuishi bila kibali anaamua aondoke tuu na ukiendelea kukaa bila vibali utaishia jela..
 
Wewe jamaa bhana nimecheka sana ujue daah
 
Reactions: EEX
Binafsi nishawahi kwenye South Africa,Zambia na Kisha Mozambique

Kitaa huwa wanasema ughaibuni ni hadi uvuke maji...

Hata hivyo maisha ni kupambana mahali popote, ikishindikana leo bado kuna kesho, kuna keshokutwa na kuendelea...

Never say never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…