Tulivyojengwa JKT 1970

Hii imekaa vizuri mkuu.
hapan shaka baada ya hapo uliuona ''Mlima'' na akina Jenerali.
 
Hiyo JKT haikukusaidia muliharibu mazingira kwa kufyeka misitu na kuondoa mpingo ambayo ni miti adimu duniani inatakiwa mshitakiwe kwa uharibifu wa mazingira pia muliopita jkt enzi hizo ndiyo mumefilisi nchi kwa ufisadi endelevu Mara Richmond hatujapumua meremeta hatujakaa tegeta escrow.
 

Maneno mazito sana hayo kwa wenye kufikiri.
 
Kiapo mzeee! Yale maneno wanayoapa huku wameshika vitabu vitakatifu yanawazuia kunena. Karibu na mwisho huwa nasikia wanasema ........NA KWA VYOVYOTE VILE SITATOA SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI.....

Kwangu mimi naona mzee Nundu alishughulikiwa tu, huyu mzee ni mzalendo.
 
Hivi sera sijui sheria ya whistleblowing iliishiaga wapi? Hivi viapo vina sambaratisha taifa.
 

dah....!! ase umenigusa ruvu ndo kambi yangu
AH 3570 SM SYLVESTER PIUS KAKANI
832 KJ RUVU JKT
OP MIAKA 50 JKT
Jun 2013-Sep 2013
KWA MUJIBU WA SHERIA
D COY
 


Aandike kitabu, OK. Lakiji Je, watanzania wana utamaduni wa kusoma vitabu? Boraa aandike humu kwanza kwani wengi wasio na tamaduni ya kusoma vitabu watafikiwa upesi.
 
dah....!! ase umenigusa ruvu ndo kambi yangu
AH 3570 SM SYLVESTER PIUS KAKANI
832 KJ RUVU JKT
OP MIAKA 50 JKT
Jun 2013-Sep 2013
KWA MUJIBU WA SHERIA
D COY

clush program
 

upo vizuri sna mzee tatizo upo ccm hapo ndo pagumu.
 
Tatizo la umma dhidi ya cream ya TANU YOUTH LEAGUE 70s NI KUWA MLIMALIMALIZA ELIMU ZA JUU NA JESHINI MLIENDA ILA MLIPOPEWA PROMOSHENI CHAMANI MKAWA MIUNGU WATU....MARAFIKI ZENU KWENYE SU...NA SERIKALINI WAMEBOMOA MAADILI KIASI SASA BADO WAZEE KAMA ANDREA CHENGE NDIO WAPIGA DEAL VIONGOZI.

MH. NUNDU YUKO SAHIHI LAKINI WENZAKO HAWAYAISHI MAISHA HAYO YA HOFU YA MUNGU....
 
kwanza kabisa nakupongeza mh Nundu kwa ujasiri na uzalendo uliouonyesha wa kukubali kuacha uliyokuwa unayafanya na kuamua kutumia weledi, uzoefu na taaluma yako katika kuwatumikia watanzania katika nafasi ya uwaziri. wengi wetu tunajua sana mambo ya mtaani na hata hoja zetu zinajengwa kwa knowledge ya mtaani ndio maana unaambiwa hayo. ni wachache sana watakusemea vizuri kwan siku zote ukitanguliza chuki mtu au jambo fulani ni dhahiri hata maamuzi au maandishi yako yatabaki kuwa ya namna hiyo. Naamini kwa wanaoamini katika hazina ya busara na hekima ya nyie wazee wetu wamefurahi kwa kutasoma shairi lako na kujifunza kitu. If they can learn to hate, they can be taught to love. Mandela
 
Hivi kwa nini unanitukana? Siruhusiwi kuandika humu mawazo na hisia zangu? Hata hivyo asante sana.
mzee wangu sijakutukana ??? kwanza nakuheshimu sana
hapa ni jukwaa huru na mimi nimeandika ninavyosijikia
:focus::focus:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…