Tulipokuwa tumefika Tanzania

Tulipokuwa tumefika Tanzania

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
540
Reaction score
507
Tafakuri

Na; Simon Jilala, 29/11/2015

Kama umeajiriwa kwenye Taasisi za umma usipoiba hata Bosi wako anaanza kukushangaa na kukutilia wasiwasi sana.

Na ukiendelea kubaki mtiifu na mzalendo katika Taasisi yoyote mara nyingi jiandae kuhamishwa, kutoshirikishwa katika mambo nyeti au kufukuzwa kazi kwa sababu ama wanahofia utaibua maovu yao au kwa sababu unawapinga kila wakitaka kupiga dili.

Kuna matukio mengi katika jambo hili, kwa mfano, mnakumbuka mtangazaji wa TBC Jerry Muro alivyoibua wala rushwa hasa askali barabarani kilimtokea nini?, Je wakubwa wa nchi walimtetea?, Mnakumbuka ya Mbunge Machachali David Kafulila katika mambo ya Escrow, kijana alijitoa sana, na mara nyingi akawa anashitakiwa na kutishiwa maisha.

Kwenye Taasisi zilizo nyingi kwa sababu ya mifumo ya rushwa, wasema kweli hawatakiwi kabisa. Na wengi wamefukuzwa kazi, wameshushwa vyeo, na cha kushangaza sana Taasisi nyingi unakuta eti wanachukia rushwa wakati huohuo ni wazuri sana wa kulea wala rushwa.

Serikali ikiamua kuwashugulikia wala rushwa kisawasawa hata tatizo la ajira litaisha kabisa Tanzania. Kiukweli watu wengi ni wala rushwa na watafukuzwa mno na vijana waliomaliza vyuo na hawana kazi watapata kazi kwa kujaza nafasi zao, nao watajiajiri kiurahisi maana wameiba sana, wana mahotel ya kifahari, majumba ya kifahari, mabasi, na wengine wana fedha lukuki kwenye mabenki. Na ukiamua kuwafilisi, na kuipeleka fedha kwenye huduma za kijamii, hakika watoto wao nao watakuja kufaidika sana.

Utajiri sawa, lakini umeupataje?. Imefikia mahala ukiiba unasifiwa kama umegundua kutengeneza ndege au umeenda mwezini. Hili ni lazima lishughulikiwe, na waizi Mimi sina nafasi nao washugulikiwe tu.

Kijana ameajiriwa leo, ukikutana naye baada ya mwaka utakuta ana gari la milioni 50 na anamalizia nyumba ya milioni 100 au 200, jibu lake ukimuuliza umepata wapi hela atakwambia humu mjini changamka, au atakwambia Mimi mpambanaji!!!! inamaana uizi siku hizi ni upambanaji.

Mimi nasema waizi wote washugulikiwe kwa mjibu wa sheria za nchi kwani wanafilisi Taifa letu na kuwanyima vijana wetu fursa za kujiajiri na kuajiriwa pia.

Mungu ni Mkubwa na huwa hapendelei. Mungu Bariki Taifa letu na watu wote.
 
Tafakuri

Tulipokuwa tumefika Tanzania.

Na; Simon Jilala
29/11/2015

Mungu ni Mkubwa na huwa hapendelei.

Mungu Bariki Taifa letu na watu wote.

Wezi, wala rushwa na Mafisadi wafungwe na kufilisiwa. Wizi, Rushwa na ufisadi wakati wa amani ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu kuliko vita!!
 
Mambo haya ni mazito na hata mimi yamenikuta.Tulifika pabaya sana.

Namuomba Rais wetu mpendwa atoe tangazo rasmi kwa wezi wote na mafisadi,kama alivyofanya Sokoine.Kwamba wote wanaojijua ni mafisadi na wezi wajisalimishe na mali zao wenyewe mara moja.Watapata msamaha au adhabu ndogo.Vinginevyo wakisubiri mkono wa sheria uwafikie,itakuwa kiyama kwao.
Tafakuri

Tulipokuwa tumefika Tanzania.

Na; Simon Jilala
29/11/2015

Kama umeajiriwa kwenye Taasisi za umma usipoiba hata Bosi wako anaanza kukushangaa na kukutilia wasiwasi sana.

Na ukiendelea kubaki mtiifu na mzalendo katika Taasisi yoyote mara nyingi jiandae kuhamishwa, kutoshirikishwa katika mambo nyeti au kufukuzwa kazi kwa sababu ama wanahofia utaibua maovu yao au kwa sababu unawapinga kila wakitaka kupiga dili.

Kuna matukio mengi katika jambo hili, kwa mfano, mnakumbuka mtangazaji wa TBC Jerry Muro alivyoibua wala rushwa hasa askali barabarani kilimtokea nini?, Je wakubwa wa nchi walimtetea?, Mnakumbuka ya Mbunge Machachali David Kafulila katika mambo ya Escrow, kijana alijitoa sana, na mara nyingi akawa anashitakiwa na kutishiwa maisha.

Kwenye Taasisi zilizo nyingi kwa sababu ya mifumo ya rushwa, wasema kweli hawatakiwi kabisa. Na wengi wamefukuzwa kazi, wameshushwa vyeo, na cha kushangaza sana Taasisi nyingi unakuta eti wanachukia rushwa wakati huohuo ni wazuri sana wa kulea wala rushwa.

Serikali ikiamua kuwashugulikia wala rushwa kisawasawa hata tatizo la ajira litaisha kabisa Tanzania. Kiukweli watu wengi ni wala rushwa na watafukuzwa mno na vijana waliomaliza vyuo na hawana kazi watapata kazi kwa kujaza nafasi zao, nao watajiajiri kiurahisi maana wameiba sana, wana mahotel ya kifahari, majumba ya kifahari, mabasi, na wengine wana fedha lukuki kwenye mabenki. Na ukiamua kuwafilisi, na kuipeleka fedha kwenye huduma za kijamii, hakika watoto wao nao watakuja kufaidika sana.

Utajiri sawa, lakini umeupataje?. Imefikia mahala ukiiba unasifiwa kama umegundua kutengeneza ndege au umeenda mwezini. Hili ni lazima lishughulikiwe, na waizi Mimi sina nafasi nao washugulikiwe tu.

Kijana ameajiriwa leo, ukikutana naye baada ya mwaka utakuta ana gari la milioni 50 na anamalizia nyumba ya milioni 100 au 200, jibu lake ukimuuliza umepata wapi hela atakwambia humu mjini changamka, au atakwambia Mimi mpambanaji!!!! inamaana uizi siku hizi ni upambanaji.

Mimi nasema waizi wote washugulikiwe kwa mjibu wa sheria za nchi kwani wanafilisi Taifa letu na kuwanyima vijana wetu fursa za kujiajiri na kuajiriwa pia.

Mungu ni Mkubwa na huwa hapendelei.

Mungu Bariki Taifa letu na watu wote.
 
Hili bandiko zuri sana hasa Kipengere cha kama rais angetangaza rasmi kua yyt anayejua amepiga deal ama kuhusika na hela yyt ya magumashi na yuko ndani ya system ajitokeze kwa hiari yake....... Rushwa ni mbaya sana mkwere kutufikisha pabaya inahitajika nguvu ya ziada rais piga kazi mungu yuko nawe nasi tunakuombea mazuri kila kuchapo.....
 
Hivi yule Mzalendo aliyeenda kufanya due diligence sijui Malaysia kuhusu ishu ya Escorow akafukuzwa kazi na kupewa kesi ya mauaji yuko wapi ???
 
Wafirisiwe kabisa ..ufisadi unakatazwa hata kwenye misaafu.
 
Kijana ukiajiriwa tu kama hujanunua gari ama kujenga nyumba utachukiwa na kuitwa mzembe na ndugu,jamaa na marafiki.Wezi ndio wanashangiliwa na kusifiwa.
 
Tulipokuwa tumefikia kama taifa rais Magufuli ni mtu sahihi hasa suala la kupambana na rushwa, ufisadi na kurejeshwa heshima ya utumishi wa umma maana watu walikuwa wamejisahau na kufanya kazi kwa mazoea sana hivyo kwa wakati huu mheshimiwa rais alikuwa mtu sahihi kabisa.

Lakini huko tunakoelekea sio mtu sahihi hasa katika sera zake za kubana matumizi, ubinyaji wa demokrasia, baya zaidi anaamini kichwa chake zaidi kuliko mawazo ya wengine, kutumbua watu bila sababu za kueleweka kumesababisha watumishi wengine wawe waoga na wengi kuwa wazito kufanya maamuzi lakini wengine kufanya maamuzi mabaya kwa lengo la kumridhisha matokeo yake taifa litadumaa maana litaendeshwa na mawazo ya mtu mmoja. Huko tunakoelekea hali itazidi kuwa mbaya zaidi kutokana na kwamba mkubwa hashauriki.
 
Mafisadi ni hatari sana na yana nguvu kubwa sana kifedha. Hii vita anayopigana Magu sio rahisi!
 
Back
Top Bottom