Tulipofikia kama taifa

Tulipofikia kama taifa

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,142
Reaction score
190,589
Wale wenye majukumu ya kusafisha image ya taifa wameamua kuchukua hii kama njia ya kumaliza utata 😂
 

Attachments

  • cd635b5d25e3b7fb446040b0c7ec7481_1762399023953.mp4
    3 MB
Waacheni wajitoe ufaham, wao si Wana Bunduki Ndizi zinawapa Jeuri .

Dec 9 wataelewa maana ya Uhaini, Ugaidi .
 
Jamani pazeni sauti sana sana,hawa watoto wanateswa huko balaa.Kuna mmoja ameonekana na majeraha ya kuchomwa na pasi, si sawa kabisa.

Eeee Mungu tenda jambo tupone.
 
Na kitu kimoja pengine kwa dharau zao bado wanadharau hawaelewi watanzania wa kuanzia 29/10 hawatakuja kuwa sawa na wale wa kabla ya hapo. Lakini pia wanasahau ni katika udhia huu huu watu watapenyeza kadhia. Ilimradi wameonesha kwamba mtindo huu pia unakubalika wasije shangaa hayo yakachukua mkondo na Tanzania ikapasuka kwenye makundi.

Waswahili walisema mzaha mzaha utumbua usaha
 
Back
Top Bottom