Tuliozoea kupiga U-turn

Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
3,636
Reaction score
3,046


Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki,
Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.
 


Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki,
Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.
Hii barabara wenzangu na mimi wa koromije lazima tupotee tunakoenda..... au google map itoe msaada
 
Hii barabara wenzangu na mimi wa koromije lazima tupotee tunakoenda..... au google map itoe msaada
Pale tuu kigamboni huwa najikuta nimetokea mahali tofauti na nilipokusudia.
 
Kwenye mtihani ukiona swali gumu unaruka kwanza, hata hapo kutafuta u-turn ni mtihani tosha. Cha kufanya unapita tu ukaitafutie kwa mbele huko.
 
Unaenda tu utajua mbele ya safari
 


Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki,
Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.
Hapa lazima nipotee na nilivozoea double road[emoji23][emoji23]
Posta tu pananitosha kupotea[emoji3][emoji3]
 
kuhusu tochi wenzetu wanatumia computerized system. unatumiwa meseji au call kwamba umezidisha speed kwaiyo umechajiwa juu kwa juu kwenye a/c yako hakuna burgain
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…