Asante sana Mkuu...Yule ndiye alikuwa mtaalamu wa mwisho kumtibu sista.Poleni sana
Hujatuambia sista yako alipona au ilikuwaje
Ndiyo mkuu, naheshimu mtazamo wako na pengine nimeandika ujinga sana sana..Lakini nitakuwa mjinga sana kama nikiwa na akili zangu timamu nimeandika hii story hapa ili kufurahisha jukwaa tena nikiihusisha na familia yangu.Umeandika ujinga wa kitoto sana, hata kama uchawi upo ila huo wa kujipaka masizi ni FUTUHI tu.
Mkuu..Pengine yale waliyosema nikiyaweka hapa ndio yataonekana hayana mashiko zaidi na hutaamini... Na yote kwasababu hujawahi kuuishi huu upande..Tujenge nchi mkuu.sasa walisemaje..umeongea vitu visivyo na mashiko... vyote hivyo tunajua kuwa wachawi wapo uchi
Mkuu...kabla ya 2006 nilikuwa naona mambo yote kama muvi za kinaijeria.. Ila baada ya yale yaliyotokea nimekuwa sibishi nikisikia story za watu.Zamani nikiwa mdogo niliwahi kuwaona wachawi. Kuna vijiji vya ndani ndani huko Tanganyika vina wachawi mno aisee!
Ndio maana huwa sibishi sana nikielezwa kuhusu wachawi maana naamini wapo!
Mbona umeandika kama yule mchawi aliegoma kuingia kikaoni ?Umeandika ujinga wa kitoto sana, hata kama uchawi upo (kama upo) ila huo wa kujipaka masizi ni FUTUHI tu.