hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 457
Mwaka mpya Wa masomo unaenda kuanza,vyuo mbalimbali vimeanza kupokea wanafunzi wa elimu ya juu.,nimewiwa kuandika mada hii kutokana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mdahiliwa kushindwa kuhitimu masomo ya elimu ya juu.
Kuna mambo ambayo yanaweza kumtatizo mwanachuo,yakiwemo yake binafsi na mengine yasiyo yake moja kwa moja.
MAMBO BINAFSI
1-Matumizi mabaya ya pesa na muda
hii inapelekea mwanachuo kuishiwa pesa ya kujikimu
na maisha yanakuwa magumu kwelikweli
Muda ni tatizo pia-ukiwa haujali mda ni rahisi kumiss test na kupata technical discontinue
2-Starehe za kupitiliza
kurefresh ni muhimu lakini starehe zisizo na tija kama ulevi na clubing ni hatari sana kwa mustakabali Wa elimu yako
3-Mahusiano yako na wanafunzi
Ni vizuri kuwa na mahusiano mazuri na wenzako pamoja na watu unao ishi nao hii itakupa amani
4-Siasa chuoni
Hii Inacost sana ukizingatia wakuu Wa vyuo ni makada
kuna watu pale udom miaka ya nyuma iliwapotezea muda sana
5-avoid kuzingatia sana matatizo ya kifamilia hasahasa Yale ambaye huwezi kuyatatua wakati huo
NAJUA TULIOPITIA MISUKOSUKO HII TUKO WENGI HUMU KWA FAIDA YA WENGINE LETS SHARE THE EXPERIENCE