mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 997
Hahaa nyie si mnajidaigi kauzu, mko busy na madrawing boards yenu[emoji3] [emoji3]Hahahahaa ..polee sana mkuu.
Majamaa wa coet tunaongoza kwa clean sheet .Tunafeli wapi mkuu .??
Tatizo na nyie wadada wa Hill park pale mnakuwaga na nyodo sana .Hahaa nyie si mnajidaigi kauzu, mko busy na madrawing boards yenu[emoji3] [emoji3]
Hahaaa, kidume haogopi nyodo, nyie hamna time ni kupima pima na kuchora tu mda wote, Coet bana.Tatizo na nyie wadada wa Hill park pale mnakuwaga na nyodo sana .
Hahaaa, kidume haogopi nyodo, nyie hamna time ni kupima pima na kuchora tu mda wote, Coet bana.
Ungekuwa kidume ungejua haw it feel ..Hahaaa, kidume haogopi nyodo, nyie hamna time ni kupima pima na kuchora tu mda wote, Coet bana.
Yaaan wako busy hao , sidhani hata kama huwa wanakumbuka kuoga[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,sasa wasitoke na clean sheet vipi huhuu[emoji3][emoji3][emoji3] na mabegi yao
tunaoga bana vizuri tuuu ..sema tu mda wa kufukuzana na wadada ndo hatuna.Yaaan wako busy hao , sidhani hata kama huwa wanakumbuka kuoga[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,sasa wasitoke na clean sheet vipi huhuu
Duh labda ,ila ningekua kidume nisingejali hizo nyodo ningekua nashusha mistari mpk wananikubali, afu hao wenye nyodo ndyo rahisi kuwapata, wanatumia nyodo kama defence mechanism ila kiuhalisia ni rahisi ,so usiogopee jombii[emoji3]Ungekuwa kidume ungejua haw it feel ..
Maneno ya kawaida sana ukiwa nje ya uwanjaDuh labda ,ila ningekua kidume nisingejali hizo nyodo ningekua nashusha mistari mpk wananikubali, afu hao wenye nyodo ndyo rahisi kuwapata, wanatumia nyodo kama defence mechanism ila kiuhalisia ni rahisi ,so usiogopee jombii[emoji3]