Tuliosoma UG tukutane hapa

kwenzi

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
669
666
Nimepiga Eagles nest sec school kuanzia 2002 mpaka 2006 ni mwaka nilio maliza senior 6.

Daah nimemis sana chikomandoo...

Na kitu cha Rolex... Plus butunda

Na chakula cha Yule mama wa soko la owino mmh...alikuwa anajaza nyom yani mtu anakusimamia nyuma ukiinuka tu ye anakaa.

Na mbuzi choma wa pale California kalibu na Kampala coach..

Kukaa kwangu kote sijawah onja manyabo...kila nikilikumbuka ili nataman nirudi tena
 
Kumbe nyie ni wa juzi juzi tu? Nafurahi kuwafahamu.
 
Nilisoma UG miaka hiyo, dah nilipataga home sickness mwishowe nilishindwa kuvumilia nikabwaga manyanga nikarudi nyumbani
 
Pole mkuu ulisoma shule gan na ilikuwa pande zp ndan ya UG
Nilikuwa pale St. Peter's Nsambya. Nilisoma miaka miwili, nilikuwa hoi. Nilikuwa nikikumbuka nyumbani nalia sana. Nilikuwa nalia kila siku.
Nilirudi likizo moja hivi nyumbani nililia sana nikawaambia wazazi sirudi tena UG na ikawa kimoja. Mpaka leo sikuwahi kurudi kuchukua vitu vyangu
 
Mi nilisoma kule kabale Uganda. BUKINDA SEMINARY
Miakaka mi 4. Nilimaliza O level uko. A level nkasema ngoja nkasome shule za kujichanganya na jinsia nyingine maana duh ujana nao shida.
 
Ha ha ha ulipo jichanganya ulifanikiwa?
 
Nilikuwa pale St. Peter's Nsambya. Nilisoma miaka miwili, nilikuwa hoi. Nilikuwa nikikumbuka nyumbani nalia sana. Nilikuwa nalia kila siku.
Nilirudi likizo moja hivi nyumbani nililia sana nikawaambia wazazi sirudi tena UG na ikawa kimoja. Mpaka leo sikuwahi kurudi kuchukua vitu vyangu
Mmh pole ungevumilia ungekuwa sawa tu mie miaka ya mwanzo niliumwa sana naona kutokana na kubadilisha mazingira ila baadae nikawa sawa tu
 
Kumbe nyie ni wa juzi juzi tu? Nafurahi kuwafahamu.
Nimepiga Eagles nest sec school kuanzia 2002 mpaka 2006 ni mwaka nilio maliza senior 6.

Daah nimemis sana chikomandoo...

Na kitu cha Rolex... Plus butunda

Na chakula cha Yule mama wa soko la owino mmh...alikuwa anajaza nyom yani mtu anakusimamia nyuma ukiinuka tu ye anakaa.

Na mbuzi choma wa pale California kalibu na Kampala coach..

Kukaa kwangu kote sijawah onja manyabo...kila nikilikumbuka ili nataman nirudi tena
Mi nilisoma kule kabale Uganda. BUKINDA SEMINARY
Miakaka mi 4. Nilimaliza O level uko. A level nkasema ngoja nkasome shule za kujichanganya na jinsia nyingine maana duh ujana nao shida.
wakuu kwa nyie mliosoma Uganda naombeni kujua pale UNEB inacost shillingi ngapi kubadilisha matokeo ili yaende katika mfumo wao au ni bure.
 
Nasikiaga wanaoendaga kusoma Uganda ni wale wanaofeli Tanzania ni kweli? Vp nasikia ekimu ya ug ni rahisi sana hata ukitoka Uku form four umepiga zero kule unaenda advance kama kawa?
 
babu unataka pa kutokea na zero yako?

Huendi kokote.
 
Mi ndo mtunga sera wa wizara ya elimu ukisikia ndalichako anatoa amri jua kaambiwa na mimi
Kama wewe ndo mtunga sera, basi huu mporomoko wa elimu ni sawa tu. Maana wewe mwenyewe unaangalia kama kuna uwezekano mwenye zero akasoma Ug.
Sera zako ndo zimeleta zero
 
wakuu kwa nyie mliosoma Uganda naombeni kujua pale UNEB inacost shillingi ngapi kubadilisha matokeo ili yaende katika mfumo wao au ni bure.
The last time I checked, ulikua 20,000/-.. That was 2011.. Kwa sasa itakua 50,000 au kilo
 
Nasikiaga wanaoendaga kusoma Uganda ni wale wanaofeli Tanzania ni kweli? Vp nasikia ekimu ya ug ni rahisi sana hata ukitoka Uku form four umepiga zero kule unaenda advance kama kawa?
In your dreams... !!
 
Bright grammar PS - Masaka 1998-2004
Kibuli S.S - K'la 2005-2008

Where the ballers at?
 
Back
Top Bottom